Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Nanamucho

Senior Member
Apr 8, 2023
115
557
Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu

Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!

Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!😂
 
We utakuwa mvuta bangi? Daa! Sasa Mtoto mtakayezaa si atakuwa mla bangi kibisaa
 
Jana nilienda mgahawa fulani kula, nikakutana na Dada mrembo sana sana na pete means mke wa mtu.

Hapakua na nafasi ya kukaa ikabidi nikae kiti cha kutazama naye, nikamsalimia, kila mtu akaendelea na mambo yake.

Alipokuja mhudumu nikamwambia "Ni aje Bro" yule Dada akatabasamu sana huku ananiangalia.

Nikamwambia vipi Dada? Tunaenda sawa au kuna shida nikupishe, akasema "napenda sana ulivyo msalimia huyo Kaka" Ni aje bro"

Akaniuliza wewe ni wa Arusha, nikamwambia nimezaliwa huko, kusoma huko, ila kwa sasa nipo Dar es salaam.

.Mazungumzo yalinoga, tukabadilishana namba, na tunaongea etc.

Naweza kuelewa unachosema
 
Hivi nishawahi kukusalimia mambo? Lenie Naonaga ni ngumu sana 😂😂
Ni mwendo wa niaje, vipi, habari… mambo? Mambo gani sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom