Nauza rav 4 milioni 6 tu

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Nuza Rav 4 ya mwaka 1996 kwa Tshs 6m.
Five doors, well maintained, engine in good condition nimetoka nayo Tanga juzi.

Yeyote anehitaji ani PM
 
Sina picha if you are interested just PM

Kama ungeweka picha, ingeshawishi watu wengi zaidi kukutumia PM. Pia hujasema kama ni manual au auto, mafuta gani inatumia, imeshachapa lapa kms ngapi, etc.

Weka picha kaka - biashara matangazo
 
Kama ungeweka picha, ingeshawishi watu wengi zaidi kukutumia PM. Pia hujasema kama ni manual au auto, mafuta gani inatumia, imeshachapa lapa kms ngapi, etc.

Weka picha kaka - biashara matangazo

Kms 138,000 manual gear, petrol engine iko Arusha.
Serious buyer can PM me
 
Wewe umeshaambiwa ya mwaka 96 unataka photo ya nini tena? tujitahidi kumiliki gari za kuanzia date of manufacture ya mwaka 2000 mpaka 2010. nyuma ya hapo hizo no screper.

Mkubwa mbona kama unataka kunivunjia biashara? wewe kama unayo ya mwaka 2000 na kuendelea hongera zako
 
Kms 138,000 manual gear, petrol engine iko Arusha.
Serious buyer can PM me

mkuu nshakuwa interested lakini sasa umenitisha,gari ya mwaka 96 km kidogo ivo? Ilikuwa kwenye gunia au?jamani watu wa siku izi na mita za gari noma!ungesema japo lak2 ungenikomvinsi.
 
Jamani, Kipimo cha uzuri wa gari ni kusafiri kutoka Tanga? weka mileage, picha na kama ni AT au MT.
 
when selling a car,house or somesort of those...
bei,location na picha ni muhimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom