House4Sale Nauza nyumba yangu Kivule Kwa Wamakonde 22 mil

Nyamwi

Member
Jan 12, 2022
54
58
Habari wana JF,

Nauza nyumba yangu iko Kivule kwa wamakonde kwenye kiwanja cha s.meter 500, haijaisha ila tayari ishapauliwa na mabati ya msauzi.

Kwa walio serious karibuni..22mil

Mawasiliano 0767940945

Asanteni..

IMG-20220222-WA0006.jpg

IMG-20220222-WA0008.jpg

IMG-20220222-WA0009.jpg

IMG-20220222-WA0008.jpg

IMG-20220222-WA0007.jpg
 
Wapendwa nyumba bado ipo...Ni nyumba ya familia, vyumba vitatu vya kulala kimoja ni masta, dining,sebule na jiko public toilet..Unaweza ukalipa kwa awamu mbili, unaanza na 15mil au zaidi then baada ya mwezi unamalizia..Karibuni sana..0767940945
 
Nyumba bado ipo... Karibuni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom