Nauza Mkaa Gunia 700 kwa shilingi 10,000 kwa kila Gunia

Mizega

Senior Member
Feb 10, 2021
145
308
Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na tozo ya TFS. Vibali vyote ninavyo. Anayehitaji aje Inbox tuongee. Njoo na Gunia zako upime mwenyewe, lori linafika hadi pori na miti ni ya asili yenye mkaa mzuri.

Karibuni
 
Upo mkoa gan
 
Ujazo gani?
 
Gunia moja la mkaa ni elfu 10? Uko mkoa gani wa Tanzania?
 
ungechambua na gharam za izo tozo tufahamu
10,000+12500 ya TFs +gharama ya upakiaji + gharama za kujaza kama halijajazwa + gharama ya viroba +gharama ya upakiaji +gharama ya kusafirisha tu ulipo hapo kwa gunia
 
Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na tozo ya TFS. Vibali vyote ninavyo. Anayehitaji aje Inbox tuongee. Njoo na Gunia zako upime mwenyewe, lori linafika hadi pori na miti ni ya asili yenye mkaa mzuri.
Karibuni
Hizi kazi zina wenyewe huwezi kukurupuka utakufa na pressure
 
10,000+12500 ya TFs +gharama ya upakiaji + gharama za kujaza kama halijajazwa + gharama ya viroba +gharama ya upakiaji +gharama ya kusafirisha tu ulipo hapo kwa gunia
sasa izo gharama zngne mbona ujaweka bei zake..?
 
Back
Top Bottom