Nauza majiko Sanifu ya mkaa

Heshima kwenu wakuu, ninauza majiko ya kisasa kabisa ya mkaa yaliyo buniwa US kwa madhumuni ya kukupunguzia matumizi ya mkaa na kukuokolea muda wa kukaa jikoni.

Jiko hili mbali ya kukupunguzia matumizi ya mkaa kwa zaidi ya 50% pia lina sifa zifuatazo;

1. Linapata joto hadi kufikia nyuzi joto 1000 litakalo kufanya upike haraka kwa kutumia mkaa kidogo.

2. Limetengenezwa na chuma imara (high-chromium laced grate) kinacho himili joto na kina matundu madogo madogo yatakayo kuwezesha kutumia hadi chenga chenga za mkaa.

3. Ceramic fiber insulation, hii inasaidia kutunza joto kali lililopo ndani ya jiko lisitoke nje ya jiko.

4. Easy ash-tray, hili ni sinia la kutunzia majivu na ku control joto. Kupitia kisinia hiki, jiko lako litabakia kua safi na unapopikia pia patabaki kua safi.

5. Jiko lina warranty ya mwaka mmja, ikitokea limeharibika utatengenezewa bure kabisa.....niamini mimi!!!

Bei ya jiko moja ni 110,000/= (laki moja na elfu kumi tu). Ukihitaji kuanzia majiko 10 nitakuuzia kwa bei ya jumla. Nakuletea popote ulipo Tanzania, usafiri juu yangu.


6ce2caa7cc6773aca3f802170c2a0ad1.jpg
26d401872384845358a178657ab0f463.jpg
fc394d38240098e7d66b6e5e06967b70.jpg
25eb7694b1950e27293ea08c71870ec7.jpg
c04347f5dcc62ba9fa5ffb41e3d415b2.jpg
fdfc59130666b8127c41fde15e6618bd.jpg
Nahitaji Niko Nyamagana nicheki 0758895500
 
Umejitangaza vizuri sana mkuu, nitakuunga mkono ngoja niweke mambo sawa kidogo.
 
Back
Top Bottom