Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 18,747
- 13,662
Dar huna branchBwiru
Dar huna branchBwiru
Anaweza kunifikishia jiko moja tu Dar?Kwa sasa sina branch ila wakala wa morogoro anafika dar
Mwanza sehemu gani?nililetee hapa karibu na CBE nione tufanye biasharaMorogoro na mwanza ila nitakutumia popote ulipo
TayaliNitumie namba yako inbox, nakuletea sasahivi
Kwa Singida nitalipataje?.Je nitahitajika kuongeza gharama ya usafiri?.Mkuu, asante kwa ushuhuda... Ubarikiwe sana
Nahitaji Niko Nyamagana nicheki 0758895500Heshima kwenu wakuu, ninauza majiko ya kisasa kabisa ya mkaa yaliyo buniwa US kwa madhumuni ya kukupunguzia matumizi ya mkaa na kukuokolea muda wa kukaa jikoni.
Jiko hili mbali ya kukupunguzia matumizi ya mkaa kwa zaidi ya 50% pia lina sifa zifuatazo;
1. Linapata joto hadi kufikia nyuzi joto 1000 litakalo kufanya upike haraka kwa kutumia mkaa kidogo.
2. Limetengenezwa na chuma imara (high-chromium laced grate) kinacho himili joto na kina matundu madogo madogo yatakayo kuwezesha kutumia hadi chenga chenga za mkaa.
3. Ceramic fiber insulation, hii inasaidia kutunza joto kali lililopo ndani ya jiko lisitoke nje ya jiko.
4. Easy ash-tray, hili ni sinia la kutunzia majivu na ku control joto. Kupitia kisinia hiki, jiko lako litabakia kua safi na unapopikia pia patabaki kua safi.
5. Jiko lina warranty ya mwaka mmja, ikitokea limeharibika utatengenezewa bure kabisa.....niamini mimi!!!
Bei ya jiko moja ni 110,000/= (laki moja na elfu kumi tu). Ukihitaji kuanzia majiko 10 nitakuuzia kwa bei ya jumla. Nakuletea popote ulipo Tanzania, usafiri juu yangu.