daudycharles
Member
- Feb 19, 2014
- 50
- 16
Nauza kuku chotara wana miezi sita,jogoo wapo 7,majike yapo 23,bei kwa jogoo Tsh 18000,jike Tsh 13500,nipo dar es salaam,0652199902
Changanyikeni karibu na chuo kikuu UDSMDar sehem gani?
Avater+ID+postIngependeza ungeweka na picha za hao kuku
Pole Sana mkuu
Apo umenena MkuuIngependeza ungeweka na picha za hao kuku