i pad 2 nauza 870,000/= na i pad 3 nauza 1,550,000/= no longolongo nakukutumia mtu anakufata unapotaka unaicheck ukiridhia unalipa anakuachia ,made in USA,UR SERIOUS NI INBOX
kaka usiwe na wasiwasi hunywan'ganywi unaichecheck ni Ipad kaka
Kifaa chochote chenye USB port kinaweza kutumia sim card au memory card ya aina yeyote. All you have to do ni kupachika Usb stick inayobeba sim card.ACHA LONGOLONGO NA KUZUNGUKA KWINGI. JIBU HOJA YA DADA kaunga HAPO JUU.
Kifaa chochote chenye USB port kinaweza kutumia sim card au memory card ya aina yeyote. All you have to do ni kupachika Usb stick inayobeba sim card.
Mkuu unaweza kufungua account na kuaccess i-store bila Credit Card number na kupata all free programs! Ila ukitaka programs za kununua ndo lazima uwe na payment details the like of credit card number.Ipad kama huna wireless inakuwa kero tu.Bora Galaxy samsung au hata Huawei kwa sababu unaweza kuweka kuitumia kama simu.Ipad pia karibu kila kitu lazima upitie Itune Store ambayo kufungua account watakuomba Credit card number wakati Galaxy karibu kila kitu ni free kwenye Android.Anyway bado bei ya huyu jamaa ni reasonable and fair.
Mkuu unaweza kufungua account na kuaccess i-store bila Credit Card number na kupata all free programs! Ila ukitaka programs za kununua ndo lazima uwe na payment details the like of credit card number.
Mkuu Lonestriker,labda,nililetwa Ipad 4 na mshkaji kumfungulia account nikashindwa,kila nikijribu nakutana na details za credit card.Anyway free programs zipo lakini si kwa wingi kama kwenye tablets za Android.Maybe sijazoea Ipad ndio maana sikuona calling features kama zilizopo kwenye tablets za Samsung na Huawei...niliona simcard za Ipad zinasupport data tu.
Sijawahi kuona Ipad yenye USB port!Kifaa chochote chenye USB port kinaweza kutumia sim card au memory card ya aina yeyote. All you have to do ni kupachika Usb stick inayobeba sim card.
Kifaa chochote chenye USB port kinaweza kutumia sim card au memory card ya aina yeyote. All you have to do ni kupachika Usb stick inayobeba sim card.
i pad 2 nauza 870,000/= na i pad 3 nauza 1,550,000/= no longolongo nakukutumia mtu anakufata unapotaka unaicheck ukiridhia unalipa anakuachia ,made in USA,UR SERIOUS NI INBOX
hiyo mbona rahisi sana,,Mkuu Lonestriker,
Uko sawa,ili kupata access ya iTunes inabidi kuwa na credit card. Sijawahi kufungua account bila ya kukutana na credit card info request (Apple).
Microchip za iPad huwa zinasupport data,Ila kuna apps Kama Talkatone,Viber,Truphone etc ambazo zinatumika Kupiga simu za kawaida.
Ningeomba mkuu Kingmairo atuelekeze jinsi ya kubypass credit card request ili kupata access ya iTunes.
Shukrani.
Sijawahi kuona Ipad yenye USB port!
Na hiyo sim card, Ipad 2 zipo zenye sim card na zisizo na sim card. Zisizo na sim card ni karibu na useless, kwa sababu huwezi kutumia internet mpaka uingie sehemu yenye wifi. Wenzetu mpaka kwenye mabasikuna WIFI, sasa huku kwetu mabasi ya Temeke Pile - Kwa Mtogole wifi itatoka wapi jamani?
Na hata Ipad yenye sim card nayo ina limitations nyingi tu, kile ki sim card hakiwezi kata kutuma text message, achilia mbali kupiga simu. Ninaposema hakiwezi kutuma text message maana yake hata kuongeza vocha huwezi (lets say una internet ya Tigo umeweka chip ya Tigo ndani) kuongeza salio kwa kutuma ujumbe kutumia Ipad haiwezekani, mpaka sijui uingize kwenye simu ingine pembeni halafu ujitumie vocha ... makomplications meeengi... for no reason. Halafu kuingiza miziki nayo ishu, ku save text documents issue.... just headache. Ipad imekuwa popular magharibi halafu na sisi tunarukia tu technology ambazo kwa kweli were not meant for us.... Samsung is the way to go.
Kila kifaa cha electronics nowadays kina USB port, if not built in we pachika tu kwa hela ndogo sana.Haivuki elfu kumi.lakini Ipad 2 haina USB port, sijui kuhusu 3
Ndio nini hicho kitu????
hii kitu nakuletea kwa silingi elfu nne tu!!! i mean shillings za Tanzania.
Kwani text message sio data? We vp Mkuu?Ipad ni kifaa cha internrt/.data on the go. Sasa mi-text ya nini? Si utumie simu?..... hiyo ni sawa na kutaka kuingia chooni na gari.