Nauza I pad 2 na I pad 3

Ndio nini hicho kitu????

Tunaongelea Ipad hapa!

Kwani text message sio data? We vp Mkuu?

Unahitaji text kufanya mambo mengi, kuongeza salio la bandwidth, kucheki salio, kutuma salio.... na kadhalika, IPAD haiwezi hata kutuma text, ni kifaa hafifu! Bora tab za Samsung. Samsung tab zangu zina GSM yenye telephony technology, unaweza kutuma texts na hata kupiga simu.
Ndiyo maana nikakwambia unataka kuingia chooni na gari.
Yaani wewe unanunua tablet kwa ajili ya kutext? .... si utumie simu tu?
If not pachika hiko kitu, endelea na mi-text yako. kifaa hafifu? lol Apple is is tha shiznit!
 
kobelo moja ya tofauti ya 2 na 3 ni kuwa 3 inasupport USB
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom