Plot4Sale Nauza heka 3, zipo Kibaha

Kumbe mtu ukiwa na heka moja Kibaha una uhakika wa million 300, hakuna haja ya kupoteza muda kwenda kusoma ili tuajiriwe, maana utajiri ni kuwa na eka moja Kibaha.

Watu wa Kibaha kwanini mnahangaika kufanya kazi, uzeni hekta mojamoja mtajirike jamani.
 
heka 3 million mia 300
Eka 1: million 300

Eka sio Hekta, Eka 1 ukubwa wake ni sawa na uwanja wa Nkapa sasa unganisha upate viwanja vitatu ndio unacheua million 900
Overview-of-the-Benjamin-Mkapa-National-Stadium-National-Stadium-scaled.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom