Plot4Sale Nauza heka 3, zipo Kibaha

Karungi baby girl

Senior Member
Oct 10, 2023
117
139
Nauza Heka 3 zipo Kibaha
Zina hati zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana

Screenshot_20231115-163242_1.jpg
 
Weka na mawasiliano tukupigie pia...

Ukiweka picha au video itapendeza

Pia taarifa za huduma za kijamii

Bila kusahau kufikika kwake kutoka barabara kuu, hizo hekari kama ni shamba Au eneo la makazi au shamba pori
 
Sikuwahi kujua hapo Kibaha unaweza kupata hekari 3 kwa shilingi milioni 1.

Yaani hapo roughly ni kama kila hekari umeuza shilingi 333,333.

Jamani tushindwe sisi tu 😁
 
Weka na mawasiliano tukupigie pia...

Ukiweka picha au video itapendeza

Pia taarifa za huduma za kijamii

Bila kusahau kufikika kwake kutoka barabara kuu, hizo hekari kama ni shamba Au eneo la makazi au shamba pori
Nimeshaweka maelezo bosi, karibu sana.
 
Nauza Heka 3 zipo Kibaha zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana simu no 0659161693

View attachment 2815111
Sasa dorini iko hivi kama hek moja ni 300m inamaana hap hamna hamna una 900m hebu fanya ukizipata tutaftane tuyajenge mamaa haya maisha unahitaji mtu akupooze usije ukachanganyikiwa na pesa hizo hebu njoo pm ukishauza hata moja ili tujue tunafanyaje WEWE NI WANGU DORINI NAONA KABISA ULIVYOUMBWA UWE WANGU😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom