INAUZWA Nauza Halotel MIFI (router) 4G

Basi Nenda

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
20,175
45,904
Ni router inayotumia single sim card ya Halotel, ipo na box lake ila imetumika kidogo

Bei Tsh 40000
Location: Mwanza
Charger haina, ila inatumia charger ya simu
Halotel wanasema kifaa hiki kina connect devices kumi
UPDATE; nilishaiuza
a3eef0d640fd38db1f39aa483fe38628.jpeg
39d08f72c20b9b1b0d223a5f80dbde74.jpeg

 
Kina tumikaje elezea
Unaweka sim card yenye kifurushi maalum kipo kwenye menu ya Halotel, baada ya hapo basi utawasha wifi kama ni ya simu, Tv nk na ku connect na hiki kifaa kwa kuingiza password

Kwa kifupi,hiko kifaa ni kama modem ila utofauti wake ni kwamba, hiki kinakupa access ya internet kwa wireless, hivo kama una smartphone, computer na smart Tv unapata internet kutoka hapo kwa kasi ya 4G

Kinachajiwa kama simu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom