Nauza gari used la toyota hilux double cabin bei 14M.

desree

Senior Member
Nov 8, 2018
196
370
Habari wadau,nauza gari used la toyota hilux double cabin kama mnavojua kwa wataalam wa magari jinsi haya magari yanavyopiga kazi na uwezo wake mkubwa wakutumika kikazi zaidi.
Contact #+255 767 386 086 karibuni.
 
Sasa mbona body yake imechakaa sana?
Halafu kumbe ni namba A itakua imetembea kilometres nyingi sana.
 
Back
Top Bottom