Nauza gari ndugu zangu

Mama Beto

Member
Oct 11, 2010
19
1
Habarini ndugu zangu, nina gari aina ya Nissan safari, naiuza kwa bei poa kabisa inahitaji matengenezo kidogo katika body na engine mashine ni mil 4.5 tu na mazungumzo yanakaribishwa. tutwangie 0717 101335 DSM
 
Attachments

  • NISAN.pdf
    749.7 KB · Views: 379
Asante sana gari hilo huwa nalifagilia sana ila kwa ulaji wa wese hapo kipato changu kipo chini.
 
jamani ni mama Beto sio Peto. haya nitaongeza picha na hiyo engene mnayotaka, mnasema imechoka shauri ya bei? mnataka vya bei mbaya ee. nina madeni mwenzenu.
 
Habarini ndugu zangu, nina gari aina ya Nissan safari, naiuza kwa bei poa kabisa inahitaji matengenezo kidogo katika body na engine mashine

yaani kwenye hizo mbili bora ungeandika body engine akutane nayo barabarani...aisee nextym usinunue kabisa hizo aina za magari ni kimeo kama sio cancer..ugonjwa wake ukianza kutibika labda NDODI..
All the best ungemalizia linatembea ama lah
 
Hivi ni JF au ni members ndio wanakosea na kuweka thread za matangazo ya biashara kwenye forum ya masuala ya Kazi/Tender?
 
Pdidy, Unamaana Aina hiyo (Nissan) ni kimeo? Hapo hakika Umedanganya Si kweli, Ni kwamba Huyu Mama Beto alilisusa hilo gari kwa muda, Ukili pimp wote humu mtashangaa...........................Ashushe tu bei halafu wewe Pdidy unaweza kuwa wakwanza kuwa interested:

Make linaenda kwa mchina kupigwa Paint, then sports low profile tires , etc
 
Niambie Smarter unataka nishuke mpaka ngapi, ni kweli hatujaitumia mda mrefu na machine ipo mana tulikuwa tunaendea field mkoa, kama ulivyosema ukiipiga msasa mwana mjini unatingisha. bado lipo karibuni, wengi wamekuja wanangoja mwisho wa mwezi hamjachelewa. :smiling:
 
Hivi ni JF au ni members ndio wanakosea na kuweka thread za matangazo ya biashara kwenye forum ya masuala ya Kazi/Tender?

Mbona sijaona tatizo,hii tender si ya kuuza gari i.e anauza gari kwa tender.?*?mtaingia kwenye tender na hatimaye atachagua 1. Naona hata serikali,balozi nyingi zinatangaza tender-naomba nikosolewe kama nimekosea.:tape:
 
jamani ni mama Beto sio Peto. haya nitaongeza picha na hiyo engene mnayotaka, mnasema imechoka shauri ya bei? mnataka vya bei mbaya ee. nina madeni mwenzenu.
Mama Beto-majina yote yakubali, ukiishaingia hapa tegemea kila jina, ushauri wangu kama isingekuwa madeni,ungeiuza kama scaraper ungepata pesa nyingi zaidi,waite usikie watakupa ngapi.
 
mama Beto hiyo gari inahitaji mtu kwenye kisu kirefu.nissan matengenezo yake yako juu hasa spare parts tofauti na toyota.pia fuel consumption iko juu so mlala hoi kama mimi itanishinda.we sema unadeni kiasi gani halafu tucheki jinsi ya kubalansiana.
 
umenichekesha Semango, Katabazi nimekusoma. madeni ni mengi ndugu...mbona hamniambii mnangapi wandugu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom