Nauza gari ndugu zangu

umenichekesha Semango, Katabazi nimekusoma. madeni ni mengi ndugu...mbona hamniambii mnangapi wandugu?
Irudishe iwe tatu, nikuletee 2 kesho, then 1 in two weeks. unasemaje? mi nshakuja kuiona hapo..........starter imepona?
 
umenichekesha Semango, Katabazi nimekusoma. madeni ni mengi ndugu...mbona hamniambii mnangapi wandugu?
inahitaji kazi kubwa sana kwenye body na probably overhaul ya engine..........si unajua ilikuwa inapiga pori?. rim niza zamani sana, tairi haina.........Mama Peto sema fasta tumalizane. najitosa tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom