Nauza flat tv sony bravia inchi 32 original kwa bei poa

MM3

Member
Nov 28, 2013
20
25
Mambo vipi wapendwa kuna TV BRAVIA ya Sony ipo ndani ya warranty, ni flat new model inch 32 imetumika kwa muda mfupi sana.
Haina mikwaruzo ya aina yoyote ile,infact ipo kwenye hali nzuri sana, ipo ndani ya box lake, ina risiti zake. Inauzwa kwa bei ya kutupwa ya 500,000. mwenye uhitaji nayo anicheki kwa 0717037703.

Bei yake ya dukani ni 700,0000.

NB: naiuza kwa 500,000 na haipungui.
 
Bei yake ni 550000 mpya
We muongo
Kula 30k fasta bila kuiona
 
Kuna mijitu miongo. Sasa ww KZBA umeona wapi sony dukani ikauzwa 550000
 
Back
Top Bottom