INAUZWA Nauza book manuscripts

May 12, 2019
60
101
Habarini wakuu! Natumaini mu wazima, poleni sana kwa wale ambao hali zenu haziko sawasawa na vile mpendavyo.

Niende moja kwa moja kwenye mada!

Nimeandika vitabu viwili ambavyo nilipanga kuvifanyia publishing mwaka huu.

Lakini, katika harakati za maisha, nimekumbana na jambo kubwa ambalo linahitaji fedha, nimefanya kila niwezalo ili kutatua ila bado halijamalizika..

Karata yangu ya mwisho naamua kuitupa kwenu wanaJF, ikiwa yuko yeyote ambaye anaweza nunua kazi zangu hizi ili nitoke kwenye majanga niliyonayo.

Manuscript 1:
Hii ni ya Kiingereza. Ni Kitabu cha Kikristo ambacho kimejikita kuueezea Ukristo kwa dhana ya Ufalme wa Mungu. Kina sura tano, na kurasa zaidi ya 100.

Manuscript 2:
Hii ni ya kiswahili. Ni kitabu kinachofaa kwa watu wote. Kinazungumzia namna ambavyo mtu anaweza kutunza na kuongeza thamani yake (yeye binafsi, na yale ayafanyayo).
Hiki pia kina page takribani 100.

Kwa yeyote ambaye atahitaji, naomba karibu PM tusemezane zaidi.

Asante.
 
Sasa ndugu hiyo Manuscript 1 imekuja ku-replace Bible? Mbona kila kitu kiko wazi kwenye Bible

Pili, hiyo Manuscript 2 haina mantiki yoyote kwani mwanadamu hana thamani yoyote unaongezaje kitu ambacho hauna?

Leta manuscript 3
 
Siko kwenye utulivu wa kufanya mdahalo Mkuu.
Kwa sasa niseme tu, Naheshimu mtazamo wako.
 
Habarini wakuu! Natumaini mu wazima, poleni sana kwa wale ambao hali zenu haziko sawasawa na vile mpendavyo.

Niende moja kwa moja kwenye mada...
waandishi wa vitabu vya dini wana %fulani ya wehu kwasbb ya extreme belief in obstruct images wanakua religious fanatics ambao hawataki kukubaliana na reality on ground, lazima majanga ya maisha madogo madogo yakukute........religion is complete hewezi kuongeza kitu tena.
 
You're right!
 
Habarini wakuu! Natumaini mu wazima, poleni sana kwa wale ambao hali zenu haziko sawasawa na vile mpendavyo.

Niende moja kwa moja kwenye mada!

Nimeandika vitabu viwili ambavyo nilipanga kuvifanyia publishing mwaka huu.

Lakini, katika harakati za maisha, nimekumbana na jambo kubwa ambalo linahitaji fedha, nimefanya kila niwezalo ili kutatua ila bado halijamalizika..

Karata yangu ya mwisho naamua kuitupa kwenu wanaJF, ikiwa yuko yeyote ambaye anaweza nunua kazi zangu hizi ili nitoke kwenye majanga niliyonayo.

Manuscript 1:
Hii ni ya Kiingereza. Ni Kitabu cha Kikristo ambacho kimejikita kuueezea Ukristo kwa dhana ya Ufalme wa Mungu. Kina sura tano, na kurasa zaidi ya 100.

Manuscript 2:
Hii ni ya kiswahili. Ni kitabu kinachofaa kwa watu wote. Kinazungumzia namna ambavyo mtu anaweza kutunza na kuongeza thamani yake (yeye binafsi, na yale ayafanyayo).
Hiki pia kina page takribani 100.

Kwa yeyote ambaye atahitaji, naomba karibu PM tusemezane zaidi.

Asante.
Mkuu hebu screenshot kurasa chache weka hapa tuangalie ubora. Kutaja tu idadi ya kurasa haitishi. Hata hivyo hongera kwa kipaji cha uandishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom