Kazi ya mbunge ni kuwakilisha jimbo lake bungeni sasa wananchi wake tutatambuaje anatuwakilisha vyema bila kuona bunge live tutajuaje anatoa hoja za kutetea jimbo letu kazi ya mbunge sio kutoa ela ni kuieleza serikali kufanya majukumu YakeTunataka Wabunge wasioleta maendeleo majimboni. Wananchi tuwahukumu majimboni maana kunawabunge wanachaguliwa kwa umaarufu tu hawafanyi kazi kabisa.
Kikao cha bunge ni kikao cha kikazi sio mkutano na waandishi wa habari (press conference).kuna tofauti ya kikao cha kikazi na press conference! Wanaotaka kugeuza bunge kuwa press conference ambamo muda wote waandishi wa habari wamo hawako sahihi
Wabunge wakishakaa na kumaliza kazi ya siku ndio taarifa za yale muhimu ya kazi na matokeo waliyofikia yanawekwa hadharani na maofisa habari wa bunge
Taarifa hizo haziwi na vitu vya kipuuzi kama vile vya mbunge gani amemtukana waziri au mbunge fulani kwa kumwita Kibaka nk.Zinakuwa na zile taarifa muhimu tu za kazi waliyofanya kwenye vikao.
Ikumbukwe pia kuwa Vikao vya kamati za bunge huwa havirushwi Live sababu ni vikao vya kikazi.Na kikao cha bunge ni kikao kikuu cha kikazi sio press conference .Sasa hivi wabunge watafanya kazi barabara kuliko zamani ambapo mara ingine mtu anaomba kuchangia ili tu auze sura kwenye TV aonekane.Wachangiaji unakuta wako msururu wakipigania tu kuonekana!!! Sasa hivi bunge litakuwa na wachangiaji very serious ambao wana hoja za nguvu na si wauza sura kwenye TV
Bunge la Tanzania litakuwa bunge la mfano la kuigwa duniani kwani litatoka na vitu serious vilivyofanyiwa kazi barabara na wabunge serious na habari zitakazotolewa ni zile za HAPA KAZI TU na si zile za mara mbunge kapigwa picha anasinzia bungeni nk
Pia Kazi kuu ya mbunge (Major duty) ni kuleta maendeleo kwenye jimbo lake anakotokea na si kuongeaa sana na kuchonga sana mdomo bungeni na kuanika sura sana kwenye kamera za Televisheni akiwa bungeni.Kuna wabunge majimboni hata kuwaona na kuwakuta ofisini kwao majimboni ni shida.Wao husubiri tu muda ufike wa bunge wachonge midomo na kuuza sura kwenye TV.
KWANZA NANI ANAKAA KUTWA NZIMA AKIANGALIA BUNGE NI BORA TUWE WAKWELI.HAWA JAMAA WAMEKOSA HOJA SASA WAMESHIKILIA HAPO HAPO ILI WANANCHI WAWAHURUMIE.KAMA KWELI TUNATAKA KUFANYA KAZI
AGENDA HIYO HAINA MSHIKO.WANAOANGALIA WENGI NI WA WALE KULA KULALA WACHAPAKAZI WENGI HUANGALIA USIKU
Kuna wabunge hawawezi kazi kabisa ila wanajua kupangilia maneno kweli. Wanaishi tu kwenye siasa za live bungeni kwakuzungumza mambo mazito kweli kweli na baadhi ni mahodari wa kudandia Hoja za wenzao.
Ukienda Jimboni kwake wananchi wake wanaishi kwenye dimbwi la umasikini, Hawa wabunge hawajitumi kabisa.
Hawaanzishi vikoba, Hawaanzishi miradi ya manufaa kwa wananchi wao,wana diplomatic passport lakini hwatafuti wafadhiri. Hebu tuwadhibiti kabisa waanze kufanya kazi Majimboni.
Napeeeeee futiilia mbali mbali mambo live wabunge wawe wanashinda kwa wananchi wakiwahudumia.
Ulimuamin ndo maana ukamchagua.Sasa Mkuu lisipooneshwa laivuuu utajuaje kama mbunge wango anapeleka matatizo ya Jimbo lenu sehem husika ambayo ni Bunge,
Je, utajuaje mwelekeo wa nchi yako kimaendeleo?
Kuna wabunge hawawezi kazi kabisa ila wanajua kupangilia maneno kweli. Wanaishi tu kwenye siasa za live bungeni kwakuzungumza mambo mazito kweli kweli na baadhi ni mahodari wa kudandia Hoja za wenzao.
Ukienda Jimboni kwake wananchi wake wanaishi kwenye dimbwi la umasikini, Hawa wabunge hawajitumi kabisa.
Hawaanzishi vikoba, Hawaanzishi miradi ya manufaa kwa wananchi wao,wana diplomatic passport lakini hwatafuti wafadhiri. Hebu tuwadhibiti kabisa waanze kufanya kazi Majimboni.
Napeeeeee futiilia mbali mbali mambo live wabunge wawe wanashinda kwa wananchi wakiwahudumia.
Nyumbu huwa hamuelewi mpaka damu masikioniWanachotakiwa ni wamuache huyo mbunge tumuone live pumba zake anazoongea kwani sisi wananchi ndio tuliomchagua na ndio tutakae muondoa kama haeleweki anayotenda...Sio kuficha uozo hapo ni kulea jipu ambalo litakuja kupasuka...
Wananchi ndio wanaochagua wabunge je watajuaje kuwa Mbunge huyu anawafaa?
umedumaa akili kwahiyo hicho ulichokiwaza ni kiko chini sana kama mtoto wa chekechea!Kikao cha bunge ni kikao cha kikazi sio mkutano na waandishi wa habari (press conference).kuna tofauti ya kikao cha kikazi na press conference! Wanaotaka kugeuza bunge kuwa press conference ambamo muda wote waandishi wa habari wamo hawako sahihi
Wabunge wakishakaa na kumaliza kazi ya siku ndio taarifa za yale muhimu ya kazi na matokeo waliyofikia yanawekwa hadharani na maofisa habari wa bunge
Taarifa hizo haziwi na vitu vya kipuuzi kama vile vya mbunge gani amemtukana waziri au mbunge fulani kwa kumwita Kibaka nk.Zinakuwa na zile taarifa muhimu tu za kazi waliyofanya kwenye vikao.
Ikumbukwe pia kuwa Vikao vya kamati za bunge huwa havirushwi Live sababu ni vikao vya kikazi.Na kikao cha bunge ni kikao kikuu cha kikazi sio press conference .Sasa hivi wabunge watafanya kazi barabara kuliko zamani ambapo mara ingine mtu anaomba kuchangia ili tu auze sura kwenye TV aonekane.Wachangiaji unakuta wako msururu wakipigania tu kuonekana!!! Sasa hivi bunge litakuwa na wachangiaji very serious ambao wana hoja za nguvu na si wauza sura kwenye TV
Bunge la Tanzania litakuwa bunge la mfano la kuigwa duniani kwani litatoka na vitu serious vilivyofanyiwa kazi barabara na wabunge serious na habari zitakazotolewa ni zile za HAPA KAZI TU na si zile za mara mbunge kapigwa picha anasinzia bungeni nk
Pia Kazi kuu ya mbunge (Major duty) ni kuleta maendeleo kwenye jimbo lake anakotokea na si kuongeaa sana na kuchonga sana mdomo bungeni na kuanika sura sana kwenye kamera za Televisheni akiwa bungeni.Kuna wabunge majimboni hata kuwaona na kuwakuta ofisini kwao majimboni ni shida.Wao husubiri tu muda ufike wa bunge wachonge midomo na kuuza sura kwenye TV.
Kuna wabunge hawawezi kazi kabisa ila wanajua kupangilia maneno kweli. Wanaishi tu kwenye siasa za live bungeni kwakuzungumza mambo mazito kweli kweli na baadhi ni mahodari wa kudandia Hoja za wenzao.
Ukienda Jimboni kwake wananchi wake wanaishi kwenye dimbwi la umasikini, Hawa wabunge hawajitumi kabisa.
Hawaanzishi vikoba, Hawaanzishi miradi ya manufaa kwa wananchi wao,wana diplomatic passport lakini hwatafuti wafadhiri. Hebu tuwadhibiti kabisa waanze kufanya kazi Majimboni.
Napeeeeee futiilia mbali mbali mambo live wabunge wawe wanashinda kwa wananchi wakiwahudumia.
Hata hao marekani wanaowatuma kulazimisha bunge laivIla je tujiulize NCHI zingine zinazoendelea na zilizoendelea je Huonesha bunge Live ? If yes Kwanini sisi tunyimwe, si kutunyima haki? If NO basi tusiendelee kupiga kelele