Naumia kwa kutokumiliki demu mkaliiiiiiiiiiiiii.

mmh hivi unamwanamke wewe? Namuonea huruma mana you dont appreciate her kabisa mweee, wanawake tuna tabu!
 
wakuu!!
leo naweka hadharani

Sijawai kuwa na msichana mkali yaan kitu mwakemwake (beyond the expectation)
Nimebaki nikila kwa macho na roho inaniuma maana watu (wanaume )wa kawa humiliki hawa bebies na mbaya hawana hata starlet.

Nawaza kuhamia Arusha nimeambiwa huko kuna watoto wakali na hawana nyodo kama wabongo.Think of mtu unamiliki Aunt Ezekiel ni raha na fahari kiasi gani?
Mimi ntahonga incase inalazimu akijisogeza mrembo mkali na sexy figure

ukishindwa kung'oa mtoto mkali hata ukihamia arusha ujue una gundu!wapo wengi halafu wengi wao rahisi na hawajijui sema kama wewe mbongo punguza maneno mengi!............
 
foolish age mentallity

mtu anaweza kuwa na mwanamke mkali lakini ana share huyo mwanamke na watu kadhaa

au inam cost robotatu ya mshahara wake
au hivi au vile

sio kila king'aacho ni dhahabu
Huna mwanamke mkali.
 
foolish age mentallity

mtu anaweza kuwa na mwanamke mkali lakini ana share huyo mwanamke na watu kadhaa

au inam cost robotatu ya mshahara wake
au hivi au vile

sio kila king'aacho ni dhahabu
Hv kwann kila kitu huwa unapinga maoni ya watu then una dharau sana puu....
 
Kaka wewe the mkerewe wa wapi? mbona unafanya na sisi wakerewe wengine tuje tuwekwe chungu kimoja na mawazo yako? Kila la kheri katika utafutaji wako! ila kajitangaze facebook unaweza ukawapata wengi tu
 
Sidhani km JFs ni jalala linalopokea uchafu wa kila aina....... Ths is rubbish....
 
wakuu!!
leo naweka hadharani

Sijawai kuwa na msichana mkali yaan kitu mwakemwake (beyond the expectation)
Nimebaki nikila kwa macho na roho inaniuma maana watu (wanaume )wa kawa humiliki hawa bebies na mbaya hawana hata starlet.

Nawaza kuhamia Arusha nimeambiwa huko kuna watoto wakali na hawana nyodo kama wabongo.Think of mtu unamiliki Aunt Ezekiel ni raha na fahari kiasi gani?
Mimi ntahonga incase inalazimu akijisogeza mrembo mkali na sexy figure
Kwenye blue hapo mmh yaani huyo ndo Aunt Ezekiel ndo unamuona mkali eeeh!Wewe kweli mkerewe umezoe kucheza na samaki macho yako yamezoea samaki tu.Yaani Aunt Ezekiel..looooooooo.Kweli upo kisiwani Ukerewe.Tembea uone wewe mtoto wa Ukerewe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom