naulizia banda la JF pale sabasaba

kikao kipi na we acha ufukunyuku! jana Asprin kalala kwa BADILI TABIA, na nimepita kwao bado wanaliendeleza libeneke! ndio mke mkubwa ebo? ss hicho kikao kilikuwa saa ngapi?

walikuwa na kikao kuhusu picha gani Asprin auze na zipi aache, maana zingine akiziweka pale ni hatari!
 
Last edited by a moderator:

wakieka banda la JF pale sabasaba lazima akina usalama wa taifa waje kuwakamata wote..maana kuna watu wanatafutwa wa humu ndani
 
Last edited by a moderator:
yaani najaribu kupata picha! Mwanakijiji ana-market kitabu chake
Bishanga ana-market ndizi bukoba
erickb5a na Youngmaster wanatoa huduma za it
BAGAH anaitambulisha rasmi bagah event masters,
Asprin anauza picha za mtandaoni, ilhali MziziMkavu na Saint Ivuga wako busy kupiga picha
Kongosho na Mwali wanaitangaza albamu yao ya taarabu
Paw anauza vitabu vya kanuni za JF

ni mtazamo wa jf ikiwa 7 7
Hii picha sijui kwanini haitoki jamani?
attachment.php
 
Mnielekeze banda la love and connect .. na mod wake ni nani.. sitaki kushangazwa nikifika
 
Back
Top Bottom