naulizia banda la JF pale sabasaba

Hhahahaha,,,bidhaa ni rahis kupata,mfano jamii photos,vijarida vya mapenzi,drivers,bundle za mitandao mbalimbali including eateli,profile za members wa hapa,matamko mbalimbali,taarifa zilizotolewa na asasi mbalimbali including MoI,pamoja na hotuba za kambi za upinzani
 
Hhahahaha,,,bidhaa ni rahis kupata,mfano jamii photos,vijarida vya mapenzi,drivers,bundle za mitandao mbalimbali including eateli,profile za members wa hapa,matamko mbalimbali,taarifa zilizotolewa na asasi mbalimbali including MoI,pamoja na hotuba za kambi za upinzani

mh! kwa hiyo wapo sehemu gani?
 
yaani najaribu kupata picha! Mwanakijiji ana-market kitabu chake
Bishanga ana-market ndizi bukoba
erickb5a na Youngmaster wanatoa huduma za it
BAGAH anaitambulisha rasmi bagah event masters,
Asprin anauza picha za mtandaoni, ilhali MziziMkavu na Saint Ivuga wako busy kupiga picha
Kongosho na Mwali wanaitangaza albamu yao ya taarabu
Paw anauza vitabu vya kanuni za JF

ni mtazamo wa jf ikiwa 7 7
 
Last edited by a moderator:
mods washike bakora tuu... halafu kwenye bidhaa, ziwepo pia nakala za thread zilizowahi kukamata mawazo na akili ya wengi to the fullest!
 
ninazo burger mpaka za maboga...
burger zenye nyama ya wow!wow!wow! (najua kuna watu wamenielewa)
niko vizuri, nimejipanga!...nipo karibu na banda la NDOVU SPECIAL MALT...
 
Hata A town tumeanza maandalizi ya Banda letu hapa Nanenane Njiro na bila shaka itakuwa na kila aina ya kipeperushi ndani ya serikali leGeleGE kama ilivyo hii yetu!

Na haya yote iko ktk mpangilio kwa hawa Members hapa A town

1) Pakajimmy
2)Mzee wa Rula
3)Preta
4)Filipo
5)Mtumishi wetu
6)LiverpoolFC
7).........
8)..................
9)....................
10) Mungi.

Na tunawakaribisha wageni wote ambao tutawaalika na mipango kabambe itaanza rasmi siku kadha sijazo.
Tunatamani Member wote wa JF watakaopata mwaliko wasisite kufika na wafurahi nasi hapa kwenye Jiji la A town.

Mengi tutarudi kwa kupandisha thread ya mwaliko!

Smiling,Bajabiri na wengine wa hapo Dar jitayarisheni mtapata mwaliko wa kuja hapa A town na breki ya kwnz ni kwenye banda letu hapa Nanenane Njiro!

Na hata hapo mlipo kwa niaba ya viongozi wangu hapa A town tunawatakia kila la Kheri na mwendelee vema ktk kuboresha mtandao wetu na hata bila ya kuchoka na MUNGU akiwatia nguvu kama ilivyo ada kwani tuna Imani anaweza yote.
 
aah me nasuggest mods wawe na pingu (ban) ukikosea tu kanuni za jf unapigwa pingu on the spot

wewe si upo hapo reception? akija spika muambie majina mnayomtambua mkiwa jf, halafu akipita vasco niombee lift ya kwa obama, akipita makamu wake mwambie kuna mtaro umechimbwa mtaani kwetu tunamuomba aje kuzindua... natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom