naulizia banda la JF pale sabasaba

Eti Erickb52, hapa The secretary anakuonyesha nini?

attachment.php
Ananambia kuwa ameimiss sana kitu yangu Asprin vipi nimsaliti kaka Bishanga nimpe faster makitu?
 
Last edited by a moderator:
nitakuwa na gfsonwin na Zinduna, tunawafunda na kupaka mafuta ya alizeti viuno vyote vilivyokakamaa kama nondo za madirisha, karibuni!

naomba niweke bidhaa zote tutakazo kuja nazo, kungu, vigoda, udi wa kufukiza na wa kuchoma shanga aina zote mafuta ya ubuyu kwa ajili ya kukanda mwili, mkeka, vitambaa vya shughuli na dawa ya kurudisha uke. karibuni sana wana jf wote.
 
Heheheeeeee........
Wee kweli kungwi.......!
Mmesema litakuwa upande gani nije kesho, sipendi kumiss kwa kweli kwa hili.
 
Back
Top Bottom