Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,091
- 32,519
Hayakuhusu. Kamwulize Mukama na jk mapato ya viwanja vya mipira na mali nyingine walizopora. Matumizi usiulize utaambiwa ww ni cdm.
Kwani mie sio Mtanzania?
Hayakuhusu. Kamwulize Mukama na jk mapato ya viwanja vya mipira na mali nyingine walizopora. Matumizi usiulize utaambiwa ww ni cdm.
HATA WAKITUMIA BILIONI! kazi inaonekana. Je Dola laki saba za Maige alizonunulia nyumba atakayokaa yeye na mkewe nazo zingeingizwa kwenye mzunguko halali mngepata tabu ya kuunda kamati kuchunguza? Magamba bana
Mkuu wangu Tumaini Makene (Afisa Habari wa CHADEMA) na John Mnyika (Mkurugenzi wa Habari na uenezi) pamoja na makanda wengine ndani ya CDM mimi ni miongoni mwa wadau tuliohudhuria ule mkutano wetu mkubwa pale CHADEMA Square a.k.a Jangwani na ni mmoja kati ya tuliochangia pesa za ili ziwapeleka makamanda Lindi na Mtwara kwa ajili ya kupeleka ukombozi wa fikra.
Nauliza tu ni kiasi gani kilipatikana maana imechukua muda taarifa rasmi kutolewa.
Slufay,
Umenidanganya hivi umeshawahi kuchagua kwa kutumia ulichoandika. Wewe ni Gamba and don't mislead watu pambaf!,,. Sidhani Kama unatumia Mpesa!
I have tried but I am stuck ikifikia naulizwa namba ya kumbukumbu na sijui sikuwa Chadema square so how do I get it au Magwanda hamtaki michango yetu. Mh. Halima Mdee you visit this forum ibandike basi?
Mwenye kuijua kumbukumbu ya Malipo ya M4C tafadhali iweke hapa Jamvini sipatikani kiirahisi as you might think . Najua wengi hawaifahamu stand to be corrected. Na hii ni kwa faida ya Chadema na Taifa jipya come 2015
Mkuu Chadema ni Kampuni:ranger:Namba ya kampuni ni 111333 na namba ya kumbukumbu weka namba yako ya simu
Tunachotaka ni mapato na matumizi kwa ujumla tokea zoezi hili lianze zoezi kule ARUMERU
Mkuu Chadema ni Kampuni:ranger: