Nauliza kiasi kilichopatikana baada ya michango yetu pale Chadema Square (Jangwani)

Michango bado inaendelea kwenye mpesa haikuishia pale mkuu si unakumbuka ile namba ya kampuni? ni 111333 endelea kuchanga
 
I personally think ni jambo jema kuulizana mapato na matumizi ya Chama chetu cdm, cause inaongozwa na binaadamu, sio malaika eventually cdm itachukua dola!!! utaratibu huu wakuulizana uwe endelevu, kesho cdm wataulizwa mapato na matumizi ya nchii, kwa hiyo jamaa hajakosea kuuliza!
 
HATA WAKITUMIA BILIONI! kazi inaonekana. Je Dola laki saba za Maige alizonunulia nyumba atakayokaa yeye na mkewe nazo zingeingizwa kwenye mzunguko halali mngepata tabu ya kuunda kamati kuchunguza? Magamba bana
 
Nategemea utulivu ni busara. Swali lako linageuka kuwa audit, wakati mchakato mzima wa mchango
wako na watu wengine waliochangia, kwa sasa hivi ndio unaofanya kazi ya ukombozi katika mikoa ya
kusini, na huenda pesa bado zikawa chache na kuhitajika michango zaidi. Cha kufanya ni kuupongeza
uongozi mzima wa CDM. Pamoja na wale wote walio mstari wa mbele katika kulikomboa taifa letu.
 
slufay,

Nakushukuru M4C watarajie kupata michango wangu as they go. Hakuna haja ya kuuliza mapato na matumizi kwa sasa ni michango mpaka kieleweke . Hatutarajii kupata Cheo wala fadhlila ni kumpopoa mwizi kwanza Kama una wivu kajinyonge pale Lumumba!
 
Napata wasi wasi na aina ya watu wanaounda cdm. Watu ambao wakiulizwa sensitive issue wanageuka na kuwa wakali ili hali wao wepesi kuuliza chochote. Muungwana kauliza swali zuri na kilichohitajika ni jibu na si maswali.

Siku za nyuma hapa hapa niliwahi sema na narudia tena, hili vuguvugu la cdm na ahadi zao litakuja watokea puani watu. Ni kama kule Zanzibar sasa hivi. Ma~cuf wengi waliamini Maalim Seif akichukua nafasi nya juu, chi itakuwa sawa na Oman~kuku Kwa mrija. Leo hii wamechanganyikiwa, wamakungano ndo tatizo. Nasubiri siku wakishawatimua wakristo na Muungano kufa. Nasubiri siku cdm na ccm wakiunda serikali ya umoja. Mungu ibariki TZ
 
HATA WAKITUMIA BILIONI! kazi inaonekana. Je Dola laki saba za Maige alizonunulia nyumba atakayokaa yeye na mkewe nazo zingeingizwa kwenye mzunguko halali mngepata tabu ya kuunda kamati kuchunguza? Magamba bana

Fanya mambo yako ki mpango wako. Usiangalie adui yako alifanya nini. Achana na habari za Maige. Jenga kwako kwanza, hao wabadhirifu acha watumbue mali ya uma lakini kiama chao kinakuja, si umesikia yaliyomkuta Mubarak wa Misri?
 
Slufay,

Umenidanganya hivi umeshawahi kuchagua kwa kutumia ulichoandika. Wewe ni Gamba and don't mislead watu pambaf!,,. Sidhani Kama unatumia Mpesa!

I have tried but I am stuck ikifikia naulizwa namba ya kumbukumbu na sijui sikuwa Chadema square so how do I get it au Magwanda hamtaki michango yetu. Mh. Halima Mdee you visit this forum ibandike basi?

Mwenye kuijua kumbukumbu ya Malipo ya M4C tafadhali iweke hapa Jamvini sipatikani kiirahisi as you might think . Najua wengi hawaifahamu stand to be corrected. Na hii ni kwa faida ya Chadema na Taifa jipya come 2015
 
Mkuu wangu Tumaini Makene (Afisa Habari wa CHADEMA) na John Mnyika (Mkurugenzi wa Habari na uenezi) pamoja na makanda wengine ndani ya CDM mimi ni miongoni mwa wadau tuliohudhuria ule mkutano wetu mkubwa pale CHADEMA Square a.k.a Jangwani na ni mmoja kati ya tuliochangia pesa za ili ziwapeleka makamanda Lindi na Mtwara kwa ajili ya kupeleka ukombozi wa fikra.

Nauliza tu ni kiasi gani kilipatikana maana imechukua muda taarifa rasmi kutolewa.

Nimemmiss sana Tuntemeke ukimuona mwambie Molemo anamsalimia
 
Slufay,

Umenidanganya hivi umeshawahi kuchagua kwa kutumia ulichoandika. Wewe ni Gamba and don't mislead watu pambaf!,,. Sidhani Kama unatumia Mpesa!

I have tried but I am stuck ikifikia naulizwa namba ya kumbukumbu na sijui sikuwa Chadema square so how do I get it au Magwanda hamtaki michango yetu. Mh. Halima Mdee you visit this forum ibandike basi?

Mwenye kuijua kumbukumbu ya Malipo ya M4C tafadhali iweke hapa Jamvini sipatikani kiirahisi as you might think . Najua wengi hawaifahamu stand to be corrected. Na hii ni kwa faida ya Chadema na Taifa jipya come 2015

Namba ya kampuni ni 111333 na namba ya kumbukumbu weka namba yako ya simu
 
Mkuu Molemo!

Mangi nakushukuru kwa kunipatia ufumbuzi nimefanikiwa kuchangia Kampuni ya M4C. Jihadharini na Sulfay ni Gamba. Namwombea Mungu ampe maisha marefu ili ashuhudie jinsi Chadema watakavyoingia Magogoni kutuondolea Ufisadi wa CCM come 2015.

I am not a Chadema member but I have hope in their just course keep on M4C down to CCM,,.. Aluta continua!
 
Makubwa. Mnawaza hela hela. hahahaa..!!. Lini ccm mumetueleza makusanyo yenu kwa mafisadi?.
 
Hivi mnaotetea uozo huu hapo juu mnafanya nini?? how long does it take to count money? how much does it cost to disseminate information?

acheni uhuni bana..chama cha watu hiki!
 
Transparency is the Key.....
waliochanga ni watu (hivyo ni vema wakajua wamechanga kiasi gani na zinafanya nini)
watakaochanga ni watu (hivyo ni vema wakijua mpaka sasa zimeshachangwa ngapi na zimefanya nini)

Mambo ya kujibu swali kwa swali sidhani kama yatatufikisha popote ifike wakati majibu ya kisiasa yapungue na tuanze kujibu tunachoulizwa kama tunakijua (ukizingatia hapa hakuna siri wala sababu ya kuficha kitu)
 
Tupunguze ushabiki. Jamaa kauliza swali la msingi. Chadema kwa sasa kinajiandaa kuwa chama tawala, mambo haya madogo madogo ukiyapuuzia ndo yataleta ufisadi baadae kitakapokua madarakani. Nina hakika mpaka sasa hesabu zimeshapatikana, waseme tu ni shilingi ngapi zimepatikana. Inatia moyo kuchangia zaidi.
 
Naanza kwa kujitanabaisha kwamba mimi ni mwanachadema tena hai na ni diwani mtarajiwa.. Ninakipenda chama changu tena sana, ninapenda mifumo yake ya kiuongozi. Lakini ninawachukia baadhi ya wanachama wa CDM waliopo JF.. Na hawa ndio wanakizorotesha chama na kuwapa magamba la kusema, wao wanadhanqg ndio wanakijenga.. Mbaya zaidi wengi wanajidadavua kama wasomi, but very shallow in arguing.. They responds to technical question like the above by using personal emotions not with facts and logic (this applies to some and not all)

Mtoa mada ameuliza kiasi kilichopitikana, hakukuwa na haja ya kumshambulia au kumwita gamba, wakati the question is obvious and straight.. Shughuli yoyote inayohusisha fedha kutoka mifukoni mwa watu usio na ubini nao inapaswa kutolewa ripoti za makusanyo kwa waliochangia ikiwezekana na matumizi yake, ili si tu kumpa moyo mchangiaji na wengne kuchanga, bali kuheshmu mfumo wa matumizi ya fedha ktk taasis isiyo ya hiari kama chama cha siasa.

Jibu lilipaswa kuwa ”mapato ni haya..” au in-short tusubiri uongozi utasema.. Sio kukurupuka tu hapa na kujibu insensible kisa anonymous..

Let's apart ourselves from magambaz by acting and practicing ”great thnkernes” in making a motion and arguing on matterz.

NB: don't misquote my comment it appliez to some CDM memberz in JF.. Soma comments zote utawajua!

Mbumbumbu intelligent!
 
Back
Top Bottom