Nauliza bei ya flat sreen

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,401
Naomba mnijulishe bei ya Samsung au LG 42 inches,LED 3 D ..kwa madukani Tanzania inakwendaje?
 
hizi flat TV screen zinatofautana bei kutokana na model...kama ni LCD ama PLASMA na pia ni series ipi,the latest series zina concetration ya pixels na added features kama radio,usb /keyboard port na HDMI feature.kwa size ya 42" bei zinaanzia milioni na kitu hadi milioni 7 na laki kadhaa
 
Unamaanisha flat screen au flat panel? Manake kuna zile tv zenye kichogo ambazo zina flat screen pia. Nadhani wewe ulikuwa unamaanisha flat panel...
 
Back
Top Bottom