SKYWORTH , TCL , HISENSE nichague ipi?.

Gana

Member
Oct 27, 2021
79
138
Habar za muda huu wakuu!. Kama inavyoonesha hapo juu kwa izo brand 3
1. SKYWORTH
2. TCL
3. HISENSE

nichague ipi kwa ajil ya matumiz yangu ya gheto .bajet yangu ni TV ya inchi 50.

Mimi napenda vitu vizuli na Nilitaman kumilik moja kati ya izi brand kwenye upande wa TV.
1. SAMSUNG
2. SONY
3. LG
Changamoto ni kipato na bajet iliyopo. Kwenu wakuu kwa izo midrange brand za TCL , HISENSE, SKYWORTH ( 50 inch) ipi ni nzuli na itanifaa zaid?
 
Kwa hizo brands tatu ulizozitaja juu kama mid range Hisense ndio tv
 
Habar za muda huu wakuu!. Kama inavyoonesha hapo juu kwa izo brand 3
1. SKYWORTH
2. TCL
3. HISENSE

nichague ipi kwa ajil ya matumiz yangu ya gheto .bajet yangu ni TV ya inchi 50.

Mimi napenda vitu vizuli na Nilitaman kumilik moja kati ya izi brand kwenye upande wa TV.
1. SAMSUNG
2. SONY
3. LG
Changamoto ni kipato na bajet iliyopo. Kwenu wakuu kwa izo midrange brand za TCL , HISENSE, SKYWORTH ( 50 inch) ipi ni nzuli na itanifaa zaid?
Bidhaa zote za Mchina ulizotaja zimetengenezwa kwa Spea toka source moja kinachozitofautisha ni majina tu ya mzalishaji. Quality ni moja hiyo hiyo. So wewe amua
 
Back
Top Bottom