Naufunga moyo wangu na ufunguo nautupa baharini

pole mkuu naona umemaindi kucheleweshewa mzigo na siyo aina ya zawadi aliyokupa.....mpige biti cku nyingine pombe anywee ndani kama hawezi kuicontrol
 
ishu ni alikuwa wapi? kwanini anidanganye kwamba ananiletea zawadi kabambe halafu akaja na story zilezile tena kalewa. na alikua anaonekana kalegea sana. Mia
 
Pole sn mkuu,cku nyingine uwe unadeal na mwanamke na co visichana!hizo ndio faida za kuwa na visichana!ufunguo mpe mama yako akutunzie coz ipo cku utauhitaji mia!
 
umeongea point sana "mwanamke" mwenyewe mpango ndo huo. hivi visichana havina ishu. asante sana. umejuaje kama mawazo yangu yapo hivyo? Mia
 
cha ajabu anajifanya ana wivu sana na wewe wakati yeye huko anako shinda na kulewa hakuambii alikuwa na nani. Mia

kwa hiyo mimi ndo aniletee mabaki? mia

bora angeileta mapema nikashinda nayo kuliko kuileta nshakasilika na kununa na mizaha isiyo na maana. huo mda wa kupigishana naye kelele si bora kutafute mwingine mwenye kunijali na kuniliwaza. mia

Mkuu figganigga, umekaa naye chini umemwambia ya kuwa tabia hiyo anayofanya huipendi? Au watuambia tu sisi ili tuwe wafariji wako? Mimi nakushauri ya kuwa vunja ukimya juu ya hili jambo na akiendelea tafuta mwingine atakayekufaa.
NB:
Ila inabidi ufahamu ya kuwa kila mtu ana mapungufu yake!
 
ni kweli. hakuna msichana mbaya kama anaye haribu miahadi. nikimuona hasira zinapanda. bora apotee. Mia
 
mzee wa .mia ni yule wajuzijuzi ulietuambia au huyu ni small house..

duu chukua maamuzi magumu mkuu.
 
umeongea point sana "mwanamke" mwenyewe mpango ndo huo. hivi visichana havina ishu. asante sana. umejuaje kama mawazo yangu yapo hivyo? Mia

Naamin umejifunza kwa hili,kapotezee hako kasichana jipange kutengeneza maisha na mwanamke,ivo visichana vitakuchuna na kukufungia nafac ya kupata mwanamke,mia.
 
mzee wa .mia ni yule wajuzijuzi ulietuambia au huyu ni small house..

duu chukua maamuzi magumu mkuu.

kweli mkuu mtu inabidi achukue wamzi mgumu. amezoea kuona namsamehe. safari hii inakula kwake. hata akiwatuma marafiki stowasikiliza sababu ana dharau. mia
 
Naamin umejifunza kwa hili,kapotezee hako kasichana jipange kutengeneza maisha na mwanamke,ivo visichana vitakuchuna na kukufungia nafac ya kupata mwanamke,mia.

asante sana mkuu. Ushauri wako ni wa maana. hivi visichana ni vyakupotezeana mda. wanataka kila jogoo awe wao. Mungu akubariki. Mia
 
Mia na wewe.....yaani kila siku huishiwi vituko na huyo mpenzi wako!! Au we ndo hujatulia mkuu hadi umemuambukiza na mwenzio?? Mia
 
Ktk mapenzi huwa kuna mnyonge na nguli, (hakuna uwiano sawa wa kupendana) so nguli anaweza fanya lolote bila kujali na haumii kwa lolote litalotokea,
 
Mia na wewe.....yaani kila siku huishiwi vituko na huyo mpenzi wako!! Au we ndo hujatulia mkuu hadi umemuambukiza na mwenzio?? Mia

inaniuma sana kipipi. kuharibiana siku si vizuri. bira mtu akuambie ukweli ujue kuliko kukugandisha tu. visichana kama hivi vinaudhi. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom