mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 559
huwa hawajui,laiti wangejua wasingekubali ng'o.Hivi wenye picha hua wanajua wamewekwa humu?
huwa hawajui,laiti wangejua wasingekubali ng'o.
Yah, kimetulia, ila shughuli pevu.............
Naona wale wamiliki wa Zeutamu waliofungiwa wameanza kuingia kwa kasi hapa Jamii Forums, naona mod anatakiwa kuwa makini. Sidhani hizi picha zimewekwa kwa ridhaa ya wahusika, ipo siku kutatokea songombingo la nguo kuchanika.
Kawaida picha iliyopigwa kwa ridhaa ya mwenyewe na kukusudiwa kuwekwa kwenye hadhara kama hii jina huwekwa hadharani, iweje jina linafichwa kama si picha za wizi na hivyo kumvunjia hishima mhusika?