Tunajihusisha na mapezi kwasababu hayakwepeki ila yanaboa sana

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,890
4,057
Kitu pekee kinachofanya watu waendelee ku-engage kwenye Mapenzi ni nature yake tu kuwa kitu cha lazima ambacho hakiupukiki kwamba by nature tumeumbwa utake usitake lazima ujihusishe na mapenzi...Hiki kitu kina mauzi, changamoto, ujinga na upuuzi lukuki.

Naamini mapenzi yangekua yana Option ya kuamua unayataka(ON) au huyataki(OFF), asilimia 90% wangebonya OFF.

Tupate picha ya wadhamini chini

Screenshot_20240115-210409_Messages.jpg
 
Tatizo lako akili huna! Usiforce mapenzi mazee hakikisha una channel yako ya Pesa, Kula code saafi, ishi na watu vzr....kua bize kivyako hakikisha focus Yako ni kutibu tatizo la nyege tu

Unateswaje na kichwapanzi Moja mbn kitaaani huku tunawakwepa? Unaishi nae wiki Moja au mbili akinogewa akileta story za naenda kumfata mwanangu kondoa unamwambia powa nauli hyo hapo Imeishaaaa hyo
 
Mapenzi yanaboa ukilazimisha maupendo. Ila ukiwa na chaka lako umelielewa na limekuelewa…..aweee ni matamu kinomer.
Tafuta chaka lako mkuu acha kujificha kwenye machaka ya wenyewe ufurahie mapenzi.
80% ya watu hawana machaka ya maana wanatangatanga ila Hawkwell kusema kilamtu anajionesha kwa jamii yupo kwenye stable love.

Pia, katika machaka hakuna guarantee ya kudumu unaweza ukalibahatisha kesho tu ukapiga Yoweee

Mapenzi yana vilio vingi kuliko furaha
 
Mapenzi yanaboa ukilazimisha maupendo. Ila ukiwa na chaka lako umelielewa na limekuelewa…..aweee ni matamu kinomer.
Tafuta chaka lako mkuu acha kujificha kwenye machaka ya wenyewe ufurahie mapenzi.
Ila unazungumzia ngono, mapenzi ya kuishi mume na mke haya ndio nyie wenzetu hamuyawezi. Mnaona kama uzuri unaisha na hamjautumia ipasavyo. Maana mkishachakaa mkafika miaka 40+ huko miili ikigoma huwa mnabadilika ghafla mnakuwa na adabu kama walimu wa shule ya msingi.
 
Tatizo lako akili huna! Usiforce mapenzi mazee hakikisha una channel yako ya Pesa, Kula code saafi, ishi na watu vzr....kua bize kivyako hakikisha focus Yako ni kutibu tatizo la nyege tu
Hii mada general sio personal mzee sijajiandika mimi....Mosi.

Pili hizi principles hua tunafundishana hasa wanaume hili ku balance tuwe stable kwenye mahusiano technically zinapunguza dhoruba za Mapenzi ila mauzi ya mahusiano yapo palepale mpaka kufa kwako utajidanganya tu Boss.
Unateswaje na kichwapanzi Moja mbn kitaaani huku tunawakwepa? Unaishi nae wiki Moja au mbili akinogewa akileta story za naenda kumfata mwanangu kondoa unamwambia powa nauli hyo hapo Imeishaaaa hyo
Mada haizungumzii kuteswa na mapenzi inazungumzia maudlin ya mapenzi yapo zaidi ya 1000 yapo katika Form tofauti.

Mfano hata uwe Rude Boy kihasi gani ukimtext Manzi akakujibu Short itakukata tu, Ukiomba namba demu akakusonya itakukata tu, Akimpa zawadi yeye asikupe itakukata tu....Hizi zinafika lakimoja.
 
Tatizo lako akili huna! Usiforce mapenzi mazee hakikisha una channel yako ya Pesa, Kula code saafi, ishi na watu vzr....kua bize kivyako hakikisha focus Yako ni kutibu tatizo la nyege tu

Unateswaje na kichwapanzi Moja mbn kitaaani huku tunawakwepa? Unaishi nae wiki Moja au mbili akinogewa akileta story za naenda kumfata mwanangu kondoa unamwambia powa nauli hyo hapo Imeishaaaa hyo
Huu ni uhuni sasa. Watu wanataka maisha ya ndoa sio ya kuishi kisela.
 
Kitu pekee kinachofanya watu waendelee ku-engage kwenye Mapenzi ni nature yake tu kuwa kitu cha lazima ambacho hakiupukiki kwamba by nature tumeumbwa utake usitake lazima ujihusishe na mapenzi...Hiki kitu kina mauzi, changamoto, ujinga na upuuzi lukuki.

Naamini mapenzi yangekua yana Option ya kuamua unayataka(ON) au huyataki(OFF), asilimia 90% wangebonya OFF.

Tupate picha ya wadhamini chini

View attachment 2872851
NAKAZIA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom