Naturally blackbeauty

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
558
Kitu natural kikiwa katika pozi la kiuogeleaji!

8010053R8OA[1].jpg
 
Tumwangalie kwa ukubwa zaidi

Naona wale wamiliki wa Zeutamu waliofungiwa wameanza kuingia kwa kasi hapa Jamii Forums, naona mod anatakiwa kuwa makini. Sidhani hizi picha zimewekwa kwa ridhaa ya wahusika, ipo siku kutatokea songombingo la nguo kuchanika.
Kawaida picha iliyopigwa kwa ridhaa ya mwenyewe na kukusudiwa kuwekwa kwenye hadhara kama hii jina huwekwa hadharani, iweje jina linafichwa kama si picha za wizi na hivyo kumvunjia hishima mhusika?
 
umeachana na boy friend wako kule fb unakuja kutundikwa picha yako jf.sijui huwa inamaana gani kuweka picha kama hii, mbona ya kawaida sana
 
Kala ya ukweli wadada wananiacha hoi pale wanapoanza kutumia mikorogo wakitaka kuwa weupe wakati black kala are so attactive
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom