Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Kuna baadhi ya members humu ndani nimeona wameanza katabia kachafu cha kummendea mke wangu cacico, wananivizia mimi nikiwa sipo wanaanza kumfuata fuata na kutaka kumtongoza mke wangu tena wengine wanafanya mbele yangu eti njoo tuongee pembeni wakidhani mimi mtoto sijui kunachoendelea.
Tabia yenu nimeshaigundua na nawaambia mkome kumfuata mfuata mke wangu cacico, nikianza na babu Asprin maana wewe ndio unaongoza kwa kujipendekeza na vizawadi zawadi vyako umesikia mimi huwa simpi zawadi? au hizo zawadi ninazompa hazimtoshi?. Na wewe Mentor hiyo tabia ya kujifanya unaumwa kiuno sijui mgongo ili mke wangu aje akuchue usiku wa manane iache. Halafu na wewe Erickb52 tabia ya kumfanyia mnada mke wangu cacico kama nguo za mtumba uache, tutaonana wabaya ohoooooo!!! shauri yako!!!
Namalizia kwa kutoa onyo tena kwa wale wenye tabia ya kumfuata fuata mke wangu cacico waache mara moja la sivyo....kitakachowatokea msije mkasema sijawataarifu. Mke wa mtu ni sumu...shauri yenu.