Natoa onyo kali kwa wale wote wanaomnyemelea mke wangu cacico

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,591
Kuna baadhi ya members humu ndani nimeona wameanza katabia kachafu cha kummendea mke wangu cacico, wananivizia mimi nikiwa sipo wanaanza kumfuata fuata na kutaka kumtongoza mke wangu tena wengine wanafanya mbele yangu eti njoo tuongee pembeni wakidhani mimi mtoto sijui kunachoendelea.

Tabia yenu nimeshaigundua na nawaambia mkome kumfuata mfuata mke wangu cacico, nikianza na babu Asprin maana wewe ndio unaongoza kwa kujipendekeza na vizawadi zawadi vyako umesikia mimi huwa simpi zawadi? au hizo zawadi ninazompa hazimtoshi?. Na wewe Mentor hiyo tabia ya kujifanya unaumwa kiuno sijui mgongo ili mke wangu aje akuchue usiku wa manane iache. Halafu na wewe Erickb52 tabia ya kumfanyia mnada mke wangu cacico kama nguo za mtumba uache, tutaonana wabaya ohoooooo!!! shauri yako!!!

Namalizia kwa kutoa onyo tena kwa wale wenye tabia ya kumfuata fuata mke wangu cacico waache mara moja la sivyo....kitakachowatokea msije mkasema sijawataarifu. Mke wa mtu ni sumu...shauri yenu.
 
Mie niko pouwaa kabisa!

Sasa ndugu, kwa mtindo huo utalalamikia wangapi? Manake mwanamke kutongozwa hiyo ni given kama pie atii!

Ni bora ungechonga vema na mkeo, ili kuepuka mabazazi!

Ni kweli kabisa na onyo pia lazima nitoe maana hawa jamaa ukiwaendekeza wanaweza kukuaibisha hata mbele za watu.
 
Nimepita hapa mkuu nikiwa si mchangiaji mada, bali nimeguswa na neno "UKUNI" naomba uliondoe uweke "KUNI" tu, bila "U" ili likae vizuri kwenye hansard zetu.

teh teh teh!!! kweli mkuu Judgement maana watu wataanza kufikiri vingine.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. The Boss mbona kama unanunuwa case? wote wanawake kwenye list?

mie tu nashangaa kwa nini katag hao watu hapo chini, hivi wanahuu kweli? kama mm alishanikatalia.

Young_Master come this way papito. cacico saizi kalala. mwaaaaah.

Wewe Erotica wewe unataka kuniuza kesi usiku huu.. cacico akiamka halafu akanikuta na wewe nitamwambia nini mie?
 
Last edited by a moderator:
Wewe Erotica wewe unataka kuniuza kesi usiku huu.. cacico akiamka halafu akanikuta na wewe nitamwambia nini mie?

wewe unaogopa case kwa cacico? Umesahau case ulizoamsha na mods?

naona wanaume ni wa 4 na wa 3 ni mods. Akiwepo Invisible, Buchanan na Xpaster. teh teh

inakuwa kama vile hao ndio wanakuibia cacico wako. ngoja upigwe ban,

ukirud unakuta cacico yuko na Bishanga or The Boss or hata mm nikiamua.
 
Eeee!!! hata wewe Erotica??? Una maana gani kusema hivyo?
 
Last edited by a moderator:
wewe unaogopa case kwa cacico? Umesahau case ulizoamsha na mods?

naona wanaume ni wa 4 na wa 3 ni mods. Akiwepo Invisible, Buchanan na Xpaster. teh teh

inakuwa kama vile hao ndio wanakuibia cacico wako. ngoja upigwe ban,

ukirud unakuta cacico yuko na Bishanga or The Boss or hata mm nikiamua.

Dah!!! Ama kweli pombe sio chai unajua huyu Asprin amenifanya hadi nimeenda kupiga mzinga keri zima sasa wakati wakati naandika hi thread nilikuwa naona screen mbili mbili ndio maana nikatag vibaya.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom