Natoa elimu ya kujitibu nguvu za kiume ukiwa nyumbani kwako bureeeee fungua uzi huu

dealkubwa

Senior Member
Jul 1, 2020
144
584
Hbarin wakuu.

Leo nataka nitoe elimi jins ya kujitibu nguvu za kiume nyumban kwako mwenyewe bureeeee kabisa.kwanza nianze na chanzo cha nguvu za kiume kupungua na mtu aliepungukiwa anakuaje ili kila mtu ajijue.

Chanzo cha upungufu wa nguvunza kiume ni mtindo wa maisha vyakula tunavyokula ni sumu ambazo zinaenda kuzuia utendaj kaz wa mwili kama chemba za choo zinavyoziba na kusababisha choo kutotumika.

Mafuta hasa ya kiwandan vyakula kama chips na vingine husabanisha kuziba kwa mishipa ya damu ambayo kaz yale kubwa ni kupitisha damu inayoenda kujaza uume na damu vile vile hupitisha hormone mbalimbali kama testosterone ambayo huleta hamu kubwa

Vyakula vingine kama wali au sembe ambavyo vina kamba kamba kias kidogo husagika kwa taabu na kuleta tatizo la presha ambalo ikiwa low presha husababisha usimamaji dhaifu au kusomama kabisa kwa uume.

Kwa uzoefu wangu watu weng kama sio wote niliowasaidia kuhusu tatizo hili waliwai kupiga punyeto ila wap ambao hawajawai kupiga kabisa na wana shida hii.

Dalili za mtu mwenye upungufu wa nguvu kushindwa kusimamisha kwa haraka uume, kuwai kukojoa bao la kwanza na kushindwa kuendelea au kuendelea baada ya kupumzika sanaa zaid ya masaa mawili inatakiwa ukae chin ya nusu saa uendelee uume kusinyaa uken na nk

Utatuzi wake upo wa aina mbili kwanza. Kujitibu kwa maji moto au kujitibu kwa matunda

Kujitibu kwa majimoto chukua majimoto chemsha joto la chai maji moto yawe lita tatu kwa kuanza anza hata na lita moja alafu kadr unavyozoea ongea lita zifike tatu chemsha maji chukua glas ya nusu lita ndio nzur mimina maji ya moto kunywa kwa kupooza pooza kwa kupuliza muhimu kunywa maji asubuh unavyoamka kabla hujapiga mswaki wala kunywa chai baada ya kunywa maji fanya zoez kwa dakika kumi la kuruka ruka utaruka goti lije juu size ya kiuno fanya na kupumzika kwa dk kumi

Tiba ya maji moto haina mashart ya chakula wakat wa tiba hii utaifanya asubuh na jion

Na hakikisha majimoto unakunywa huku ukiwa umesimama wima sio kukaa

Tiba ya matunda

Chukua ndiz tatu karot tatu parachichi moja tikit nusu kula matunda hayo kisha fanya zoes na kuruka ruka ukimaliza fanya zoez lile la hapo juu la kuruka ruka kwa dk kumi ukimaliza kunywa majo lita tatu kidogo kidgo mpaka siku iishe hii utaifanya asubuh na jion

Tiba ni uhakika mimi ndio mgunduz wa hizi formula kwa maelezo yoyote au ufafanuz wa hizi formula nitafute 0712505049 ila ukinitafuta utalipia gharama ya usumbufu ambayo ni elfu kumi kama ukitaka formula za majimoto na matunda ambazo nishaziandaa kabisa
 
Ndizi na wala karoti haziwezi kusaidia nguvu za kiume kuna vyakuala vinavyoweza kusaidia kuongeza na kutibu nguvu za kiume sio hivyo ulivyo vitaja. Kwani karoti ina asidi na asidi inadhuru mwili wa binadamu. Na kuhusu ndizi haisaidii kuongeza nguvu za kiume, labda hilo parachichi ninaweza kulikubali.
 
Sasa mkuu kwahiyo tusile Carrot ?
 
Back
Top Bottom