National Institute of Transport (NIT) -Special Thread

STUDENTS ACADEMIC YEAR 2018/2019

Naomba kuwapongeza wale wanafunzi wote mliochaguliwa kujiunga na chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT.
Natumia fursa hii kuwakaribisha chuoni; pia kwa ambao hamfahamu location ya chuo kiko Dar Es Salaam-Mabibo

Mwisho kabisa chuo kitakapo anza usajiri rasmi tutaendelea kuwapa Updates
Kama wewe ni mgeni au kuna kitu kinakutatiza usisite kuuliza hapa wadau tupo tutakusaidia.

Nawasilisha!
mkuu Nit washaanza usajili? na je wanafungua tarehe ngapi?
 
Hello guys
STUDENTS ACADEMIC YEAR 2018/2019

Naomba kuwapongeza wale wanafunzi wote mliochaguliwa kujiunga na chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT.
Natumia fursa hii kuwakaribisha chuoni; pia kwa ambao hamfahamu location ya chuo kiko Dar Es Salaam-Mabibo

Mwisho kabisa chuo kitakapo anza usajiri rasmi tutaendelea kuwapa Updates
Kama wewe ni mgeni au kuna kitu kinakutatiza usisite kuuliza hapa wadau tupo tutakusaidia.

Nawasilisha!
 
mazingira ya chuo sio mazurii pili ni usumbufu watendaji wa pale wanajiskia kinoma hasa yule dada wanamuita sijui Emakulata dada msenge sana.
Hilo sikupendi kaka nikwel kbsa sijui hata kwnn wanakuwa na maringo vile then chuo cha taifa alafu kinafnya mambo Hayo hata mm kuna mda nimeongea simu administrator office kapokea mmama bas anaongea kwa kujisikia then kwa hasira kma nimemchukulia mtoto wake wa kike๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ
 
Back
Top Bottom