Karibuni National Institute of Transport (NIT)

RJ45

JF-Expert Member
May 20, 2014
337
113
Naomba nianze kwa kuwapongeza wale wote mliochagua na mkachaguliwa kusoma chuo cha taifa cha usafirishaji NIT. Natumia nafasi hii kuwakaribisha chuoni kwani leo ndio siku ambayo registration inaanza kwa first year.

Kama wewe ni mgeni au kuna kitu kinakutatiza usisite kuuliza hapa wadau wapo watakusaidia.

Nawasilisha!
 
usisahau kuwaambia kuhusu UZINGUZI NA UZEMBE WA WAFANYA KAZI...VIONGOZI UCHWALA WANAOJIFANYA NAO MALECKCHA...
 
Malipo ya ada ni kwa awamu mbili au tatu?
Maana nimesoma tangazo lao wanasema awamu tatu lakini waliopo wananambia mbili!!
Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom