natfuta nyumba ndogoooooo

Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.

Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!​
Babylon System is the Vampire
 
hahahahahahahah uwiii mmmh ni PM ukipata iliyo penye mnala wa tigo mi yangu haipatkan laini hiyo
 
Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.

Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!​

Duuh ....sharti no. 7 & 9 ..zinatia shaka.........
 
Kwenye red mkuu...nyumba gani yenye masharti hayo mkuu....:A S-coffee:.funguka tuu mkuu sema natafuta mpango wa kando:A S-coffee:
Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.

Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!
 
mi sijari,nitatumia zana za kuogelea nimeshapata expiriensi za mafuriko pale uwanja wa fisi,na mtomsimbazi kwa ujumla!

unakumbuka kuna vijana wawili wakati wa mafuriko waliona vitu vinaelea majini wakapiga mbizi wakazama pale mtombezi?
 
We mshikaj acha kuzunguka shida yako inatatuliwa africa sana nenda majira ya saa moja moja jion utaipata
 
Back
Top Bottom