Natangaza nia ubunge jimbo la mtera 2015

Tanzaniaist

Senior Member
Nov 29, 2011
161
156
Jamani wananchi wa Mtera kaeni chonjo mwaka 2015..! kwani mkombozi wenu anakuja..ikiwa sasa hamna mbunge zaidi ya Mburudishaji Mh.Livingstone Lusinde..namfananisha na MR.Bean au Charlie Chaplin kwa hapa Tanzania naweza kumfanananisha na Masanja Mkandamizaji
 
mimi nitakuwa mshika mic wako au muandaa jukwaa come on get it happen
 
Jamani wananchi wa Mtera kaeni chonjo mwaka 2015..! kwani mkombozi wenu anakuja..ikiwa sasa hamna mbunge zaidi ya Mburudishaji Mh.Livingstone Lusinde..namfananisha na MR.Bean au Charlie Chaplin kwa hapa Tanzania naweza kumfanananisha na Masanja Mkandamizaji
Inashindwa kuingia akilini mwangu ni kwa jinsi gani watu wa jimbo la Mtera waliacha mchele kuchagua pumba! Ni ajabu lakini ni kweli ambapo kichaa yule alimshinda mtu mwenye weledi, msomi, na mwanadiplomasia anayeheshimika kimataifa Mzee Malecela, nadhani sasa wanajutia uamuzi wao. Moja ya adhabu ambazo kama CHADEMA inataka kumuumiza kijana kichaa huyu ni kuhakikisha inaanzisha crusade ya kuwaelimisha wana jimbo hili ili 2015 kijana huyu asifurukute kabisa, aukose ubunge na arudi mitaani kwa watoto wa mitaaani wenzake. Mimi naamini CHADEMA wakitaka kuwaamsha wana jimbo la Mtera inawezekana kabisa kwani hata Igunga iliyokuwa "Koloni" la CCM sasa ni eneo huru la CHADEMA na ole wao, laiti wasingechakachua matokeo leo hii CHADEMA wangekuwa na jimbo la 50.
 
Nasema hata jiwe likisimama na kibajaji hapo mtera 2015 lazima lishinde. Huyo si kichaa? Tena wa kuzaliwa?
 
Jamani wananchi wa Mtera kaeni chonjo mwaka 2015..! kwani mkombozi wenu anakuja..ikiwa sasa hamna mbunge zaidi ya Mburudishaji Mh.Livingstone Lusinde..namfananisha na MR.Bean au Charlie Chaplin kwa hapa Tanzania naweza kumfanananisha na Masanja Mkandamizaji
Mimi naona hujawatendea haki hawa wote uliowafananisha na Lusinde Mitusi. Please waombe radhi, hujawatendea haki. Kwa aliyoyafanya huyu jamaa, kwa kweli anastahili kufananishwa na watu washenzi na sio hawa watu wa watu.
 
''Kama wao ni vichaa basi mimi ni kichaa wa kuzaliwa'' halafu huyu ni mbunge mtunga sheria BUNGENI kichaa yaani haingii akilini hivi ninyi CCM haya yanawezekana vipi kwenye chama chenu??????
 
Mkuu usitanie tuu mwaka 2015 tunataka chadema wasimamishe wagombea kata zoote na majimbo yoote, isiwepo mtu kupita bila kupingwa na labda cdm ndo tusipingwe!
Vijana kwa wazee twendeni mda wa ukombozi umefika!
 
technology ipo bana, dawa ni kutengeneza DVD kibao za ule ***** wake na then kuzitumia kuwaelimisha wananchi kuwa hivi ndivyo mbunge wenu anavyowawakilisha akiwa nje ya jimbo !!

Inashindwa kuingia akilini mwangu ni kwa jinsi gani watu wa jimbo la Mtera waliacha mchele kuchagua pumba! Ni ajabu lakini ni kweli ambapo kichaa yule alimshinda mtu mwenye weledi, msomi, na mwanadiplomasia anayeheshimika kimataifa Mzee Malecela, nadhani sasa wanajutia uamuzi wao. Moja ya adhabu ambazo kama CHADEMA inataka kumuumiza kijana kichaa huyu ni kuhakikisha inaanzisha crusade ya kuwaelimisha wana jimbo hili ili 2015 kijana huyu asifurukute kabisa, aukose ubunge na arudi mitaani kwa watoto wa mitaaani wenzake. Mimi naamini CHADEMA wakitaka kuwaamsha wana jimbo la Mtera inawezekana kabisa kwani hata Igunga iliyokuwa "Koloni" la CCM sasa ni eneo huru la CHADEMA na ole wao, laiti wasingechakachua matokeo leo hii CHADEMA wangekuwa na jimbo la 50.
 
Mtu anajiita Kibajaji sijui aka Mzee wa Matusi alafu mnampigia kura..yaani weka mikakati yako vizuri kaka. Huyu kijana hafai tena kwenye anga ya siasa ya Tanzania.
 
Inashindwa kuingia akilini mwangu ni kwa jinsi gani watu wa jimbo la Mtera waliacha mchele kuchagua pumba! Ni ajabu lakini ni kweli ambapo kichaa yule alimshinda mtu mwenye weledi, msomi, na mwanadiplomasia anayeheshimika kimataifa Mzee Malecela, nadhani sasa wanajutia uamuzi wao. Moja ya adhabu ambazo kama CHADEMA inataka kumuumiza kijana kichaa huyu ni kuhakikisha inaanzisha crusade ya kuwaelimisha wana jimbo hili ili 2015 kijana huyu asifurukute kabisa, aukose ubunge na arudi mitaani kwa watoto wa mitaaani wenzake. Mimi naamini CHADEMA wakitaka kuwaamsha wana jimbo la Mtera inawezekana kabisa kwani hata Igunga iliyokuwa "Koloni" la CCM sasa ni eneo huru la CHADEMA na ole wao, laiti wasingechakachua matokeo leo hii CHADEMA wangekuwa na jimbo la 50.

Mh! Hapo kwenye red nadhani nimeelewa vibaya,
 
Jamani wananchi wa Mtera kaeni chonjo mwaka 2015..! kwani mkombozi wenu anakuja..ikiwa sasa hamna mbunge zaidi ya Mburudishaji Mh.Livingstone Lusinde..namfananisha na MR.Bean au Charlie Chaplin kwa hapa Tanzania naweza kumfanananisha na Masanja Mkandamizaji
ninacho kuomba ndugu yangu jiunge na shule ya uvumilivu wa matusi atakayo kuwa anatoa kibajaji nadhani watu wa mtera walikula matusi wakaogopa na kumpa nafasi labda ataacha, kumbe ndio kazidisha sasa, gari la padre lililo pata mtoto na mtoto amezaa kibajaji
 
Baada ya kugundua udhaifu wa Lusinde, wanajamii naomba mnipe Somo zaidi kusudi jimbo hili lisiwe la huyu mropokaji. inaonekana Malecela wa USA Hana haja nalo na anataka kupewa zawadi ya ubunge wa EA
Nawakilisha
 
kama upo chadema go ahead mkuu mambo yatakuwa simple ila kama ccm nakushauri achana na ndoto za mchana lusinde ni mchawi kinoma
 
kama upo tayari jipange usiogope uchawi kwa sababu hata arumeru ccm walikuja na waganga wao akina maji marefu but walikutana na jesus akawamaliza wote so wewe jipange 2015
 
Lusinde anachefua, hivi alimuangusha vipi Malecele? Mzee japo kachoka ana busara 200% zaidi ya Lusinde
 
Back
Top Bottom