Natangaza nia ubunge jimbo la mtera 2015

Baada ya kugundua udhaifu wa Lusinde, wanajamii naomba mnipe Somo zaidi kusudi jimbo hili lisiwe la huyu mropokaji. inaonekana Malecela wa USA Hana haja nalo na anataka kupewa zawadi ya ubunge wa EA
Nawakilisha

nina wasiwasi na Id yako...
Mjinga?
 
Kama aliweza kuangusha tingatinga wewe utaweza kweli. Unajua mbunge ni reflection ya watu anaowawakilisha, kwa hiyo inawezekana watu wa Mtera wanapenda matusi ndiyo maana waliona anafaa.
 
Baharia akishindwa ubunge wa Afrika Mashariki atakwenda kubeba box halafu 2014 atakuja kuvizia Mtera!!
 
Una ndoto ya kugombea ubunge yet unajiita Mjinga...umekosa jina kabisa? Jipange upya halafu uje tena kuomba ridhaa...
 
Kwa ufupi jimbo "lipo wazi!" Unless wanamtera wanaona tofauti!
 
Baada ya kugundua udhaifu wa Lusinde, wanajamii naomba mnipe Somo zaidi kusudi jimbo hili lisiwe la huyu mropokaji. inaonekana Malecela wa USA Hana haja nalo na anataka kupewa zawadi ya ubunge wa EA
Nawakilisha

Wajinga hawana nafasi CHADEMA. Bora aendelee mjinga mwenzako pale.
 
Kawatafute wale wazee wa zamani wa Bandari wakufundishe mitusi then ndo uende kwa wale wagogo!
 
Huyu Mjinga mbona ameingia mitini?! yupo serious kweli na issue ya Ubunge?!

BTW, kabla ya yote badilisha kwanza ID yako
 
Wajinga hawana nafasi CHADEMA. Bora aendelee mjinga mwenzako pale.

mjinga ni mtu yeyote yule asiyekuwa na uelewa kuhusu kitu flani,mjinga ni mtu yeyote aliye tayari kujifunza,thus sioni tatizo na id,kama mleta uzi ana nia thabiti ya kulikomboa jimbo la mtera ni jukumu letu kumfundisha asiwe kama lusinde. Go mjinga!
 
Baada ya kugundua udhaifu wa Lusinde, wanajamii naomba mnipe Somo zaidi kusudi jimbo hili lisiwe la huyu mropokaji. inaonekana Malecela wa USA Hana haja nalo na anataka kupewa zawadi ya ubunge wa EA
Nawakilisha

Taja chama chako kwanza.Pia kama upo CDM basi vema ila badilisha hiyo ID.Neno mjinga sio la kikamanda.Ila kama upo upande wa Lusinde,basi baki na ID hio na Jimbo hulipati.
 
Baada ya kugundua udhaifu wa Lusinde, wanajamii naomba mnipe Somo zaidi kusudi jimbo hili lisiwe la huyu mropokaji. inaonekana Malecela wa USA Hana haja nalo na anataka kupewa zawadi ya ubunge wa EA
Nawakilisha

Sasa kama wewe ni mjinga tutakupa ushauri gani? Sidhani kama utakua na tofauti na lusinde labda ubadilishe ID yako kwanza, then utuambie chama chako ni kipi ndo tukupe ushauri
 
Kama si chadema acha utapoteza muda wako,watanzania wanajua mbivu na mbichi kuongopewa wamechoka sasa.
 
:smile-big:Kama aliweza kuangusha tingatinga wewe utaweza kweli. Unajua mbunge ni reflection ya watu anaowawakilisha, kwa hiyo inawezekana watu wa Mtera wanapenda matusi ndiyo maana waliona anafaa.[/QUOTE]

si vizuri kufanya majumuisho yasiyo na uhakika, wala sio kweli kuwa mbunge ni reflection ya watu anaowawakilisha. Rekebisha kauli samahani
 
Uchaguzi mnakubaliana kwamba, katika sisi woooote jimboni anaetufaa kwenye kipindi hiki cha 5yrs ni huyu mwenye "kichaa cha kuzaliwa". Mnapiga kura, zinahesabiwa, anashinda, anatangazwa, anaapishwa, anaanza uwakilishi nk. Sasa kelele za nini? Niwalambeeee?
 
Back
Top Bottom