Natangaza Ndoa

nyani ngabu umenizidi ujanja! Mi nitakua kamati ya mapokezi huko naweza mpata mpenz mwingine, nadhan cheusi mangala ananisoma vyema!
Kamati ya mapokezi kumbe inafaa sana, unaweza kupata mpenzi! Kama kuna nafasi nipigie debe nami nipate hiyo chansi ya kuwa mwanakamati...
 
Ahahahaaah!! Inabidi uwe makini sana na akili ya ziada ya kuchambua mambo!

Labda uwe shehe nanihii. Badala ya kuchanganua na kuchmbua, utachanganuliwa. Unampm unakutana nae ana ndevu kuliko wewe.
 
kati ya uporoto na cheusi mangala, max melo na miss judith, mama groly na dr phone, afrodenzi na nyani ngabu, buji buji na blackberry.
Kwa maelezo zaidi m-pm rev masa ambaye atabariki ndoa hizo pia natangaza ndoa kati ya faiza foxy na mohamed shossi, kwa maelezo zaidi m-pm sheikh malaria sugu (ms) ambaye atasimamia ndoa hiyo.

Ndoa zote zitafungwa hivi karibuni, nafasi za wanakamati ziko wazi na wana mmu mnaruhusiwa kugombea.

Long live jf married.

umecopy ametuma eiyer uzi kama huu mod ondoa hii,inaondoa heshima kwa threads za watu.acha kucopy make ur own topic
 
Watu mna hamu na ndoa za wana jf eeh!
Ngoja nijipange na na nanilii halafu tuwatangazie yetu.
 
haya bwana,application za kamati tunatuma kwa nani?? ha ha ha ha kuna ndoa hapo naitamani sana kuishuhudia!!!

Aplication za kamati M-pm mh Invisble, yeye ndo mratibu wa ndoa hizo nway ndoa gani hiyo uliyo na hamu ya kuishuhudia??
 
Dogo umeniibia mistari ee!!

Niliingia kwa medula obrangata yako jana ulipouchapa usingizi kwa yale mataputapu wanayouza pale mtaani kwenu, nasikia mama muuza mpaka sasa hajaamka na inasemekana amezimia. Mkuu vipi Asha D si size yako?? Maisha ya ukapera yamekupita. Vuta jiko.LOL
 
Back
Top Bottom