Natangaza Ndoa

Hivi hujui kuwa jeuri dawa yake kiburi? Ukiendelea nitakuchapa mimi...ooohoooo

mmmhhhh
Hivi kweli we unajua hata fimbo ni nini??
maana ya kuchapa ni nini??
usiseme vitu ambavyo viko chini ya
umri wako.. tuachie tulio komaa
mmmmhhhhh

haya saa ya kitandani imefika
hakikisha unavaa your pink PJs
piga mswaki ingia kwenye mablanketi
yako ya Shrek ..... ntakuletea
baby doll wako umkumbatie .. Nite nite mmmhh
 
Nipo bana nakuona tu na AD shauri yenu isijekuwa yananihiyo ha ha ha ha Jumapili imekaaje Mkuu???

hahahah lol
Hey sis mambo vipi??
zakupotea??

Niko hapa najaribu kumuweka
mtoto Nyani Ngabu mahali pake
amekosea njia kidogo...hahhaahah lol
jumapili jema my dear..
 
mmmhhhh
Hivi kweli we unajua hata fimbo ni nini??
maana ya kuchapa ni nini??
usiseme vitu ambavyo viko chini ya
umri wako.. tuachie tulio komaa
mmmmhhhhh

haya saa ya kitandani imefika
hakikisha unavaa your pink PJs
piga mswaki ingia kwenye mablanketi
yako ya Shrek ..... ntakuletea
baby doll wako umkumbatie .. Nite nite mmmhh

Teh teh teh....imebidi nicheke tu! But I don't wear pink jammies. Pink is for girls and I am a boy, a bad boy.

I know you like bad boys. And I don't like Shrek. I like SpongeBob SquarePants.
 
Teh teh teh....imebidi nicheke tu! But I don't wear pink jammies. Pink is for girls and I am boy, bad boy.

I know you like bad boys. And I don't like Shrek. I like SpongeBob SquarePants.

mmmmmmhhhh
tangu lini we Bad boy ??
na niliona mahali ulisema unapenda
Simpsons na Movie Alice wonderland mmmhh
 
Teh teh teh....imebidi nicheke tu! But I don't wear pink jammies. Pink is for girls and I am a boy, a bad boy.

I know you like bad boys. And I don't like Shrek. I like SpongeBob SquarePants.

Raha ya mapenzi mpate yule anayekupenda!

mmmmmhhhhhhh
 
Kati ya Uporoto na Cheusi Mangala, Max Melo na Miss Judith, Mama Groly na Dr Phone, Afrodenzi na Nyani Ngabu, Buji Buji na Blackberry.
Kwa maelezo zaidi M-Pm Rev Masa ambaye atabariki ndoa hizo pia Natangaza ndoa kati ya Faiza Foxy na Mohamed Shossi, kwa maelezo zaidi M-Pm Sheikh Malaria Sugu (MS) ambaye atasimamia ndoa hiyo.

Ndoa zote zitafungwa hivi karibuni, nafasi za wanakamati ziko wazi na wana MMU mnaruhusiwa kugombea.

Long live JF married.

jamani mbona harusi yangu na blackberry inachelewa?
Basi mi ntafanya mbinu hadi nifungishwe ndoa ya mkeka
 
Back
Top Bottom