Nadhani unazungumzia kinyume chake!maana muulize mwanaCCM yeyote kama atakuambia nani mmiliki wa Kagoda wote chali mpaka leo wakiulizwa wanaanza a e i o u nyiiingi!Mungu amzidishie afya njema Dr wa ukweli ili wezi waendelee kuhanya!Wee wacha tu, Mheshimiwa Slaa anavyowaogopa hawa watu ni bora akutane na Chatu mwenye njaa, N'ge au nyoka mkali kuliko Nape. Alikuwa haifahamu CCM na watu wake. Baada ya kufuatwa mafichoni, baada ya uchAGUZI MKUU na hawa watu na kufundwa Unyago kwa miezi kadhaa, ndipo kimya kilipomtawala na kujuta kwanini aliachana na shughuli za kumtumikia Mungu na kujiunga na Siasa.Kilichofanya kuitambua CCM vizuiri SANA, ni zile purukushaNI ZA ARUSHA.