Elections 2010 Natamani pawepo mdahalo kati ya Nape Nnauye vs Dr. Wilbrod Slaa

isinkini

Member
May 7, 2011
43
10
natamani siku moja hawa watu wakutanishwe uso kwa uso ili kila mmoja ajibu hoja na shutuma kibao ambazo wamekuwa wakitupiana kwenye majukwaa ya siasa huku kila mmoja akimshambulia mwenzie. pia kama wasemaji wa vyama watueleze kama wanayohubiri kwenye majukwaa ya siasa ni practical na siyo kujitafutia umaarufu wa kisiasa.nauye ajibu kama kweli yeye ni mwanzilishi wa ccj na kupanda kwa maisha akiwa kama msemaji wa chama tawala. slaa ajibu kama kweli anapokea tsh 7.5mil meantime anapinga ufisadi na uwezekano wa kuuza bati na cement kwa tsh 15000@. na mengine kibao wanayohubiri....
 
Unaonyesha hujui unachokisema! Hivi Katiba ya Chadema inasema msemaji wa Chama ni Katibu Mkuu? Au mtu yeyote anayesisika kila siku ni msemaji? Lini Dr Slaa alimtupia madongo Nape? Shirikisha ubongo wako katika kuleta hoja hapa! Kwa heri
 
natamani siku moja hawa watu wakutanishwe uso kwa uso ili kila mmoja ajibu hoja na shutuma kibao ambazo wamekuwa wakitupiana kwenye majukwaa ya siasa huku kila mmoja akimshambulia mwenzie. pia kama wasemaji wa vyama watueleze kama wanayohubiri kwenye majukwaa ya siasa ni practical na siyo kujitafutia umaarufu wa kisiasa.nauye ajibu kama kweli yeye ni mwanzilishi wa ccj na kupanda kwa maisha akiwa kama msemaji wa chama tawala. slaa ajibu kama kweli anapokea tsh 7.5mil meantime anapinga ufisadi na uwezekano wa kuuza bati na cement kwa tsh 15000@. na mengine kibao wanayohubiri....

No,dont pull us down.....! ! ! Labda Slaa vs Secretariet ya CCM
 
Husirudie huu upuuzi tena katika maisha yako, Nape labda afanye mdahalo na Diwani wa CDM
 
natamani siku moja hawa watu wakutanishwe uso kwa uso ili kila mmoja ajibu hoja na shutuma kibao ambazo wamekuwa wakitupiana kwenye majukwaa ya siasa huku kila mmoja akimshambulia mwenzie. pia kama wasemaji wa vyama watueleze kama wanayohubiri kwenye majukwaa ya siasa ni practical na siyo kujitafutia umaarufu wa kisiasa.nauye ajibu kama kweli yeye ni mwanzilishi wa ccj na kupanda kwa maisha akiwa kama msemaji wa chama tawala. slaa ajibu kama kweli anapokea tsh 7.5mil meantime anapinga ufisadi na uwezekano wa kuuza bati na cement kwa tsh 15000@. na mengine kibao wanayohubiri....

Wewe jamaa ni nanga ya melini ikiachiwa kwenda majini haiulizi inaenda tu hadi topeni .Hakuna cha kujadili hakuna hoja wewe unaleta umbeya tu hapa .Slaa na Nape ? Slaa na JK ndiyo mwendo mdundo na hapo utajua maana ya mtu kwenda shule.
 
jk na slaa!no man slaa too cheap man
 
kwa hili ulilo andika nadhani akili yako imefika ukomo wa kufikiri, hivi kama ameiba kwanini hakufunguliwa mashitaka theft, kama wanawake wanaibiwa bac hata wewe inaonekana huwa UNAIBWA we vipi? sishangai wewe lazima ni mwanagamba (ccm)
 
natamani siku moja hawa watu wakutanishwe uso kwa uso ili kila mmoja ajibu hoja na shutuma kibao ambazo wamekuwa wakitupiana kwenye majukwaa ya siasa huku kila mmoja akimshambulia mwenzie. pia kama wasemaji wa vyama watueleze kama wanayohubiri kwenye majukwaa ya siasa ni practical na siyo kujitafutia umaarufu wa kisiasa.nauye ajibu kama kweli yeye ni mwanzilishi wa ccj na kupanda kwa maisha akiwa kama msemaji wa chama tawala. slaa ajibu kama kweli anapokea tsh 7.5mil meantime anapinga ufisadi na uwezekano wa kuuza bati na cement kwa tsh 15000@. na mengine kibao wanayohubiri....
Mkuu kwa akili yako Nape anamfanisha na Dr Slaa?
 
dk slaa na wabunge wote wa ccm +kikwete +mama salma +riz1+miraji+mke mdogo wa uarabuni
 
natamani siku moja hawa watu wakutanishwe uso kwa uso ili kila mmoja ajibu hoja na shutuma kibao ambazo wamekuwa wakitupiana kwenye majukwaa ya siasa huku kila mmoja akimshambulia mwenzie. pia kama wasemaji wa vyama watueleze kama wanayohubiri kwenye majukwaa ya siasa ni practical na siyo kujitafutia umaarufu wa kisiasa.nauye ajibu kama kweli yeye ni mwanzilishi wa ccj na kupanda kwa maisha akiwa kama msemaji wa chama tawala. slaa ajibu kama kweli anapokea tsh 7.5mil meantime anapinga ufisadi na uwezekano wa kuuza bati na cement kwa tsh 15000@. na mengine kibao wanayohubiri....

Wee wacha tu, Mheshimiwa Slaa anavyowaogopa hawa watu ni bora akutane na Chatu mwenye njaa, N'ge au nyoka mkali kuliko Nape. Alikuwa haifahamu CCM na watu wake. Baada ya kufuatwa mafichoni, baada ya uchAGUZI MKUU na hawa watu na kufundwa Unyago kwa miezi kadhaa, ndipo kimya kilipomtawala na kujuta kwanini aliachana na shughuli za kumtumikia Mungu na kujiunga na Siasa.

Kilichofanya kuitambua CCM vizuiri SANA, ni zile purukushaNI ZA ARUSHA.
 
Husirudie huu upuuzi tena katika maisha yako, Nape labda afanye mdahalo na Diwani wa CDM
Umenena mkuu!maana hata haiwezekani eti Dr akutane na mtu ambaye hata udiwani hauwezi wa nini huyo?kwa ninavyomjua Dr hawezi hata kukutana na mtoa pumba kama Nape!
 
Back
Top Bottom