watu watakugongea groan hadi utakomanisome PM zenu woooooote....
nani kamtongoza nani.....
...kila nikiboreka ningekuwa naingia JF na kuanza kusoma Pm zenu baaasi!,umbea kwetu suna!:teeth::teeth:anda:
utasutwa mtoto wewe!ndio ukute mtu wako anatongozwa kwa Pm ameshaweka na appointment sijuii utafanyeje!utajuta
Hivi Pm ni kwa ajili ya kutongozana, Mbona sijatongozwa huko
Hivi Pm ni kwa ajili ya kutongozana, Mbona sijatongozwa huko
Kama hujatongozwa huko huna bahati pole yako...............
alee alee ukuchemwaa! Hahahahakumbe kutongozwa kule ni bahati! Duh!
alee alee ukuchemwaa! Hahahaha