Natamani ningekuwa Invizibo.....

nisome PM zenu woooooote....
nani kamtongoza nani.....
...kila nikiboreka ningekuwa naingia JF na kuanza kusoma Pm zenu baaasi!,umbea kwetu suna!:teeth::teeth::panda:

Yaani itakuwa kama wale jamaa wanaomaliza hamu yote kwa kuangalia picha tu lakini actual action zero
 
Back
Top Bottom