Comrade Kip
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 230
- 166
mimi binafsi naamini haujapungua.Nakubaliana na wwe mkuu TB
Labda ndio sababu Wamerikani hawajawah kumchagua Rais mkatoliki ukiacha JF Kenedy alieuwawa na Joh Biden ndie makamu wa rais wa kwanza wa USA mkatoliki,
Pamoja na maelezo yote hayo kanisa hailwezi kuongoza dunia kama ilivyokuwa zamani..sasa ivi dunia imebadilika sana na kanisa limepoteza ushawish kwa jamii kubwa sana ulimwenguni, kwa sasa kuna 11 families which runs the world, hawa wanainfuence kubwa kwenye energy, Food, and Medicine......
Umafia wa kanisa Catholic umezidi kudhibitiwa vilivyo na haya mambo.
kipindi cha papa Benedikto..labda kwa kiasi. He was conservative kiasi kwamba alirudisha system ya ibada ya zaman,
baada ya papa Francis kupata wadhifa wa Upapa.. nadhani ushawishi umerudi. kanisa kwa sasa linajitaidi kwenda na dunia,
mfano. Papa francis has nothing against the gays, he anasema as long as ni viumbe vya Mungu hana shida nao, pia karuhusu divorce kwa catholics(for some situations)
wote tunajua kua kanisa katoliki liko totally 100% against hivi vitu.
but all this is now allowed/ kufumbiwa jicho so as to maintain power.
Pia financially catholic church ina assets nyingi kuliko any organisation. ina mashirika ya mafatjer, masista, brudda, monks, ya kusaidia jamii, mashule, vyuo, mahoteli, mabank, research centres. you name it.,,.!!! my take is they are still the most powerful organisation in the world.
Civilisation started with the church. They will always be powerful