Natamani kuchana vyeti!

Siyo kwamba wengi wetu tunasoma bila kujua nini hatima baada ya kupata cheti, nadhani hujafanya utafiti wa uhakika. Unafikiri watu wanaokula ugari na mlenda wanapenda, wanaopanda daladala wanapenda, omba omba wanapenda :kama una uwezo wa kujaji, jaji kwa uangalifu. Hivi hujui kuwa waweza andaa shamba ukaumwa, magugu yakaota likakanda wakakuita mvivu. TUWE MAKINI NA HISIA, MIEMKO, FIKIRIA NA MAWAZO YETU. POLE DADA ANGU USIKATE TAMAA. SOMA DANIEL 1-5 au soma YOBU alivyo kuwa anaongea na Mungu
 
uschane..!
wala uskate tamaa,
maisha hua yanabadilika muda wowote..,just keep working hard and stay focused
''one bird in hand is better than two birds on a tree''
deal na kile ulichonacho at present endelea pia kjtafuta kazi ya proffesion yako
huez jua kipi kitakutoa..
 
Niuzie mimi hivyo vyeti pls nitakupa hela ya kuongezea mtaji wa kilimo namba yng ni hii
0713 467 200
 
Ahsante kwa kunitia moyo, but sijui kama nitadumu na hivi vyeti nawaza kuvichana tu!
mkuu tafadhali nakuomba toa copy za kutosha kuendelea kutafuta kazi halaf hivyo vyeti ulete nikuhifadhie usije ukavichana kweli
 
Tatizo lenu mnataka kazi kubwaaaa! kwa taarifa yako idara ya maendeleo ya jamii katika wilaya zote haijawahi kupata watumishi wa kutosha tangu kuanza kwa halmashauri tanzania.
 
Pole, usikate tamaa mwamini Mungu kuna siku atakupa hitaji la moyo wako

Thou kuna sababu nyingi sana zinazoweza kupelekea hiyo hali
1. Je CV yako umeiandika inavyotakiwa?
2. Je personality yako iko vipi unapoenda kuomba kazi mf: dress code, body language, attitude etc?
3. Referees uliowaweka ni watu watakaoongea mazuri kuhusu wewe?
4. Je unaenda kuomba kazi sehemu sahihi? unaweza kuwa unaenda kwenye office ambazo sio wao wanao recruit, wao wanaletewa tu employees.

All the best
 
Ndio kwanza nakusikia wewe!!
 
Kila jambo hapo liko sawa to the best of my understanding, yaani sijui ni nini!!
 
Siyo kwamba wengi wetu tunasoma bila kujua nini hatima baada ya kupata cheti, nadhani hujafanya utafiti wa uhakika. Unafikiri watu wanaokula ugari na mlenda wanapenda, wanaopanda daladala wanapenda, omba omba wanapenda :kama una uwezo wa kujaji, jaji kwa uangalifu. Hivi hujui kuwa waweza andaa shamba ukaumwa, magugu yakaota likakanda wakakuita mvivu. TUWE MAKINI NA HISIA, MIEMKO, FIKIRIA NA MAWAZO YETU. POLE DADA ANGU USIKATE TAMAA. SOMA DANIEL 1-5 au soma YOBU alivyo kuwa anaongea na Mungu
Kwa jinsi ulivyonisaidia kujibu natamani hata kulia! Mpendwa, kuna watu wakipatia maisha walio katika shida wanawaona ni wapumbavu sana, they can provoke the way they want, Mungu anawaona!
 
Back
Top Bottom