Jamani bumu, jamani bumu hvi kwanini nilikujua?cheki sasa umenikimbia nimebaki mpweke.tangu tuachane kitu pesa imekua msamiati kwangu.nimekuwa mwenye huzuni siku zote na wala nyumbani sitoki.jamani bumu natamani nikufuate kwa mara ya pili tena huko chuoni kwani nimeskia sahvi umetajirika.jamani wadau nimepigika natamani nirudi chuoni nikaendelee kula bum hata kama ni ndogo kuliko haya maisha ninayoishi.