Nataka NAPE ujibu hili

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
236
Usiweke siasa kwenye maisha ya watu, Unakanusha kuwa waliowavamia wabunge wa CHADEMA na kuwakata mapanga si wafuasi na mpango wa CCM ulikuwepo? kwa taarifa yako wahusika wamekimbia na familia zao na wametelekeza nyumba zao.acha kulea maovu, unakumbuka kesi ya bihodo wewe? muogope Mungu na domaana anakiadhibu chama na wote waovu CCM.
 
Nape siku hizi umekuwaje ndugu yangu? kuna kipindi nilikuwa nakuona shujaa balaa!
hasa kipindi kile Lowasa alipoingiza ufisadi kwenye lile jengo la vijana pale Lumumba!
sasa hivi umekuwa mtu wa ajabu sana!
 
Nape siku hizi umekuwaje ndugu yangu? kuna kipindi nilikuwa nakuona shujaa balaa!
hasa kipindi kile Lowasa alipoingiza ufisadi kwenye lile jengo la vijana pale Lumumba!
sasa hivi umekuwa mtu wa ajabu sana!

sasa hivi anafuga mungiki
 
Eti sio wanachama wa ccm,lkn wenzetu waliwahi kukamata wanachama wetu kwa tuhuma za rushwa,je ndio wamelipiza?je walifanya haya yaliyofanywa?eti cdm imefurukuta,huyu kijana akili zimeshakuwa za kizee.
 
Analazimishwa kuongea asivyopenda sio maamuzi yake.
 
Usiweke siasa kwenye maisha ya watu, Unakanusha kuwa waliowavamia wabunge wa CHADEMA na kuwakata mapanga si wafuasi na mpango wa CCM ulikuwepo? kwa taarifa yako wahusika wamekimbia na familia zao na wametelekeza nyumba zao.acha kulea maovu, unakumbuka kesi ya bihodo wewe? muogope Mungu na domaana anakiadhibu chama na wote waovu CCM.

Alaf et ananifananisha na yanga,et mimi ni simba jamani?
 
Hawa CCM ni mapoyoyo wakubwa.Taarifa ya habari ITV jamaa kathibitisha kuwa mpaka polisi walikwepo na hawajawazuia jamaa waliokuwa wanamtembezea kichapo. wao wapo kwa ajili ya kuwapiga risasi wananchi wanaoandamana kwa amani. Sasa tunaelekea wap huku kweli CCM ni washenz wa tabia. Na ni bora kutawaliwa na Mbuzi kuliko viongozi hawa..
 
Kwakweli Nape umetutia aibu vijana, naamini unaimani Mungu yupo katubu upate kusamehewa lasivyo dhambi hii itakutafuna na familia yako yote.
 
To be honest tangu Napi achaguliwe kuwa mwenezi, sijawahi kumsikia ametoa point ya maana yaani kila siku ni vapour tu.
 
Kajamaa kanafiki haka sijapata kuona,hivi kanaongea hayo kumfurahisha nani? sasa kama sio wafuasi wa ccm ni nani hii habari hata ukimuhadithia mtoto wa miaka matatu atakujibu ni chichiemu hao baba
 
Nape ni mhimu kulaini vitendo kama hivo badala ya kulinda heshima ya chama
 
...Huu uzushi sasa....

...Alichosema Nape ni kuwa CCM haijahusika na mpango wowote wakuwashambulia wabunge hao, kwani hiyo haijawahi kuwa jadi ya chama chake, haitakuwa sasa na haiwezi ikawa in the future, akaongeza kuwa Waharifu waliowashambulia Wabunge hao wanaweza wakawa ni wanachama wa chama chochote, CCM ikiwemo; na kisha kulitaka jeshi la polisi liwasake, liwakamate na kisha hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao bila kujali ni wanachama wa chama gani...

...Kisha akamalizia kwa kuwatakia wabunge hao pole na kuwatakia wapone mapema ili waendelee na shughuli zao za kawaida, hivi kuna tatizo gani kwa kauli yake hii? kaazi kwelikweli...
 
Kajikamata aliposema kuwa "Walianza wao (CDM)". Kama kuna neno Wao kwa akina nani ? maana unapotumia neno "wao" lazima kuna upande mwingine unaohusika ambao wewe uliyetamka upo huko. Hapa nape umejitia hatiani. Nilikwambia usipende kutamka maneno bila kuhusisha akili yako, kama umehusisha basi una matatizo.

 
Nape hawezi kukujibu hilo...inaelekea sasa hivi yupo msambweni maana zamu yake ya '... ukuta' imewadia...!
 
Kwani kama wamehusika wao angekwambia? Nape vumuzela 2,ivi anamkaanga El.cku ile arumeru ungejiachia nawe upigwe spray ya pollonium,jukwaani pamoja na mbaya wako,aah unafki 2
 
Nimesoma thread moja inasema polisi kuwakamata wabunge wa cdm waliokatwa mapanga, isomeni wakuu, kuna harufu ya machafuko kutokea kwa hili wanalotaka kufanya polisiccm, nasisitiza kuna watu wamezikimbia nyumba zao wakihofia kukamatwa na ni wafuasi na wapiga debe wa CCM hapa naona vurugu inaandaliwa na polisiccm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom