Nataka kuwa Mwanasiasa asiye fisadi nifanyeje?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Matukio mbalimbali yanayotokea kwenye siasa kama ya kufanyiana faulu mbalimbali yananitisha kuwa kwenye siasa ambapo ndio sehemu ya kuweza kuikomboa nchi hii.Je kuna namna nyingine ya kuwe kwenye uongozi bila kupitia siasa?Maana kwenye uharakati nako kuna tatizo la kukabiliana na watawala, kwenye vyama vya siasa kuna ufisadi na asiyetaka ufisadi huujumiwa.Sasa ipi njia sahihi ya kupitia na kuwa kiongozi bila bughudha?
 
Kwani we professional yako nini?
Kama umesoma masomo yanayo relate na siasa well and good,
Ila kama hauna fan ya siasa ndo wengi kama nyie tulio nayo kwenye siasa ya nchi yetu na wanao liaribu taifa letu.

Imefika wakati kila mmoja asimamie professional yake.
 
Ukitaka kuwa kiongozi siyo lazima uingie kwenye siasa ila unaweza hata ukawa kiongozi wa kidini au kiongozi wa familia!
 
Hutaki kuwa fisadi?

Hufai kuwa mwana siasa hapa bongo.

SIASA = UFISADI. Hata kama hutaki lakini utaongozwa huko na waliokutangulia.
 
Kwani we professional yako nini?
Kama umesoma masomo yanayo relate na siasa well and good,
Ila kama hauna fan ya siasa ndo wengi kama nyie tulio nayo kwenye siasa ya nchi yetu na wanao liaribu taifa letu.

Imefika wakati kila mmoja asimamie professional yake.
Kwani kuwa na profession fulani ni dawa ya kutokuwa fisadi?Mbona viongozi wetu wana profession zao?Na fani ya Siasa nayo ni dawa ya kutokuwa fisadi?
 
Ah! Wapi hzo ni porojo zako,we kwel waweza kuwa kiongoz bila kuwa fisad huo ni uongo 2 broda U CANT.
 
Back
Top Bottom