Nataka kuvunja mkataba

Desteo

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
494
123
Niliingia mkataba na taasisi fulani kwa kazi fulani ya fasihi miaka kama mi 4 hivi imepita. Sijawahi kufaidika na mkataba huo asilani. Sasa nataka kuitumia kazi yangu hiyo kwa ishu zingine ila mkataba ule umenibana. Ni mchakato gani nitafuata ili niweze kuvunja huu mkataba na kuachana na hawa watu?
 
Kwenye huo mkata kuna kipengele kinachosema "mkataba huu utavunjika pindi upande mmoja utakapokiuka makubaliano haya"
Unasema hujanufaika je kuna kati yenu aliyevunja mkataba huo?
Kama tatizo lako ni kunufaika tu basi unastahi kuilipa hiyo taasisi ili uuvunje! Kwa msaada nenda kituo cha msaada wa kisheria wapo pale kijitonyama!
 
Kwenye huo mkata kuna kipengele kinachosema &quot;mkataba huu utavunjika pindi upande mmoja utakapokiuka makubaliano haya&quot;<br />
Unasema hujanufaika je kuna kati yenu aliyevunja mkataba huo?<br />
Kama tatizo lako ni kunufaika tu basi unastahi kuilipa hiyo taasisi ili uuvunje! Kwa msaada nenda kituo cha msaada wa kisheria wapo pale kijitonyama!
<br />
<br />
mh kuwalipa? Nashukuru kwa ushauri mkuu. Nataka sana niachane na hawa watu
 
Unaweza ukadai kuwa uliingia sio kwa hiari, kunanamna ya kuset madai hayo. Unaweza ukavunja na kulipia hathari zake na zaidi ya yote ili kujua kuwa huo mkataba umekubana au la, ni mpaka umuone mwanasheria atakuonyesha upenyo wa kutokea.
 
Contract inaweza ikavunjwa any time lakini sheria inaangalia kwamba hakuna mtu ambae anakuwa disadvantaged sababu ya contract kutokundelea.., kwahiyo unaweza ukajikuta unawalipa hao watu kwa usumbufu unless kama utapata kitu ambacho hao jamaa ingebidi wafanye hawakufanya hivyo basi unaweza ukasema they did not play their part of the contract..,

Ushauri wangu ongea nao kwanza kabla hamjapelekana panapo sheria waambie kwamba umeshindwa kuendelea na mkataba uone watasemaje wakitaka uwalipe pesa nyingi sana basi nenda panapo sheria ( sababu kwenye mikataba sheria inaangalia mtu asipate hasara sio kwamba mtu atajirike kwa niaba ya mwenzake)
 
Asanteni wadau. Nitazungumza na mwanasheria kupata ufafanuzi zaidi
 
Back
Top Bottom